PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
since the everlasting battle with kenyans and tanzanians is not focused in one particular subject,let's take it to the music industry.

i was in youtube conducting unofficial small research about bongofleva and east african music in general.

during my research, i discovered that majority of kenyans especially those who belong to the younger generation love tanzanian music more than they love kenyan music.

music performed by our artist,make kenyans go crazy and wild whenever they see a bongofleva music video or hear a bongofleva track.

it's for sure that,bongofleva sit at the top position of the most loved music genre in east africa.

i have generated some screenshot samples from youtube that show the authentication of my point.

it's up to kenyans to invalidate it with fact.
twende kazi.
 
Nilikua kushangaa sikumoja Radio moja ya Kenya ndani ya masaa 2 Wamepiga nyimbo 2zakenya 10 Nigeria na 7 Tanzania
hahaha nikasema kumbe hata wao wanajijua Hovyo kwenye Music
inatia huruma sana kaka...imagine hata madj wao hawapendi kucheza miziki ya kikenya kwenye local radio zao na nightclub zao.SMH.
 
Sikiliza Kitu kutoka kwa Dogo
ujue kabisa Bongo ina vipaji mtu akiimba kuhusu Mapenzi kubembeleza kweli Mashairi yanatulia


Njoo kwa wenzetu eti DAWA YAMOTO NI MOTO HAHAHA Kuna vita music sio vita mdundo mkuubwa mashairi Ziro

Dawa ya moto ni moto. Hii hapa. Wakenya wana vituko sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Yaani badala ya kucheza unajikuta tu ghafla umeingiwa na hofu maana mda wowote club inaweza waka moto.
 
ukiachilia mziki,pia wakenya wanavutiwa sana na wanamuziki wa kitz kushinda wanamziki wa kikenya.

darasa's interview in one of the popular tv station in Kenya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
binafsi nawakubali sana wasanii wa bongo...infact im my playlist niko na nyimbo kibao sana za wabongo...but naomba nikukosoe..kenyan favourite music ni reggae,riddim,mavitu ya kina wizkid wale..rap music za kina eminem na zile hiphop..but kama kawaida unaporejea nyumbani ukapiga shawa uko pale umetulia lazima uskize wimbo ambao utakuliwaza..yaani wimbo soft wenye kubembeleza flani hivi..na ndio nyimbo za bongo hizo..yeah..hongera kwa wasanii wa bongo mnakubalika kote east africa..
 
kwa upande wa mziki unao toka nje ya bara la Africa,wakenya hususani "mayuthi" wanapendanga sana jamaican riddim.hilo halina ubishi.
you can even observe that through the music played in matatus.
mariddim ndio wanapendanga sana.
 
kwa upande wa mziki unao toka nje ya bara la Africa,wakenya hususani "mayuthi" wanapendanga sana jamaican riddim.hilo halina ubishi.
you can even observe that through the music played in matatus.
mariddim ndio wanapendanga sana.
ni vigumu sana kuskia nyimbo laini katika magari ya usafiri..but kwa sababu ya neema za safari waweza kuskia nyimbo za kina shusho katika magari ya masafa kama vile kutoka nakuru hadi nairobi au kwingineko..
 
ni vigumu sana kuskia nyimbo laini katika magari ya usafiri..but kwa sababu ya neema za safari waweza kuskia nyimbo za kina shusho katika magari ya masafa kama vile kutoka nakuru hadi nairobi au kwingineko..
that one is very true bro.hasa zile matutu za buru58,ni ngumu sana kusikia soft music.the music played is very loud and has some element of hardcore...wale watu PB na tuberculosis zile matatu haziwafai.
 
magari yote ya uchukuzi jijini Nairobi ni vigumu kabisa..competition iko very high na ndiyo sababu kila mtu anafanya anything possible kujipatia wateja..kati ya mambo mengi ya mnato wanayoyafanya ni mziki..yani lazima gari liwe na muziki mzito tena wenye kuwachangamsha wateja maana walizoea midundo kama hiyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…