ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
hili swala halina ubishi mziki unaopendwa zaidi east africa ni bongo flavor...............................na wasanii wanaokubalika zaidi east africa mpaka africa ni wa tanzania, kama niliwah kuingia club mmoja mombasa inaitwa casablanca niliskia nyimbo ya allykiba ya aje ikirudiwa 3 times na watu wakinogewa zaidi