PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

hili swala halina ubishi mziki unaopendwa zaidi east africa ni bongo flavor...............................na wasanii wanaokubalika zaidi east africa mpaka africa ni wa tanzania, kama niliwah kuingia club mmoja mombasa inaitwa casablanca niliskia nyimbo ya allykiba ya aje ikirudiwa 3 times na watu wakinogewa zaidi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
kwanza kuna huyu jamaa anaitwa fidQ..huyu legacy yake ipo..diamond ali kiba na huyu jamaa wangu proff jay..akina chege waliwahi kuvuma sana na sasa darasa ndio habari nyingine..jamaa kajaaliwa rundo la kipawa na sijui ile sheng kajifunzia wapi maana ina mshiko ajabu
 
hili swala halina ubishi mziki unaopendwa zaidi east africa ni bongo flavor...............................na wasanii wanaokubalika zaidi east africa mpaka africa ni wa tanzania, kama niliwah kuingia club mmoja mombasa inaitwa casablanca niliskia nyimbo ya allykiba ya aje ikirudiwa 3 times na watu wakinogewa zaidi
bongofleva ni noma kaka....
BTW unamuona mzee wa iPhone 7 anavyohaha...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaani uzi unamyima raha ajabu.anajaribu ku-troll lakini wapi,kisu kikali cha ngariba kimeingia mahala pake.[emoji23] [emoji23]
 
Collins unatafuna miraa saa hii?.
At least muziki tunaeza taja kina wyre,sautisol,khaligraph,octopizzo,bahati,nonini,avril,akothee,willy Paul,jua Kali,eko dida,Timmy tdat,Nyashinski,etc
Ebu nitajie mtz kwa the following categories;
1.Athletics
2.Rugby
3.overseas Footballer ie wanyama
4.international actor ie lupita
5.any Tanzania Nobel prize winner
 
hili swala halina ubishi mziki unaopendwa zaidi east africa ni bongo flavor...............................na wasanii wanaokubalika zaidi east africa mpaka africa ni wa tanzania, kama niliwah kuingia club mmoja mombasa inaitwa casablanca niliskia nyimbo ya allykiba ya aje ikirudiwa 3 times na watu wakinogewa zaidi
We hujawai kufika Mombasa kama hujui Nyali bridge so shut the fuckk up msee
 
Elani......dont underestimate the quality of the Kenyan music. This one went international.

f3fa3593616280e3cd2b8a07210156a5.jpg
 
wakati wakenya wanaojielewa wanakubari bila kuficha kuwa bongofleva ni moto wa kuotea mbali,wewe unakuja na porojo ya Twitter. SMH.

kama shida yako ni screenshots za wakenya toka Twitter wakisifia mziki wa tz na artist wa tz,usijari nitazileta.ila kwa sasa tubaki kwanza YouTube.

musically, bongofleva rules EA ,even your top artist like caligraph jones,are down with it.can you imagine!!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
0dc9205dda5507213c6a9f19d87d18f9.jpg
6318b3ecb5cab2afafc01008c658872b.jpg
018406a2eb71565d76b8c44888c60901.jpg
3d18c5ca32bc47f2946cf129716b6a59.jpg
e3681fc74e3dadbcb7d6a4b47e6038c2.jpg
Kam twitter uone vile mnakojolewa msee
 
At least muziki tunaeza taja kina wyre,sautisol,khaligraph,octopizzo,bahati,nonini,avril,akothee,willy Paul,jua Kali,eko dida,Timmy tdat,Nyashinski,etc
Ebu nitajie mtz kwa the following categories;
1.Athletics
2.Rugby
3.overseas Footballer ie wanyama
4.international actor ie lupita
5.any Tanzania Nobel prize winner
we mzee wa iphone 7 usifanye ubishi kua mazoea kwa hili halina ujanja mziki wa tanzania unatamba sana Africa na unapendwa sana tena sana na wakenya na ukiangalia side effect utagundua mziki wa tanzania ndio umeua soko la mziki wa kenya kwenu
 
Cjakataa haitambuliki ila pia Kenya kuna wasanii renowned Africa kama group maarufu sana ya sauti Sol,jaguar etc sasa nitajie any of the above watanzania
 
At least muziki tunaeza taja kina wyre,sautisol,khaligraph,octopizzo,bahati,nonini,avril,akothee,willy Paul,jua Kali,eko dida,Timmy tdat,Nyashinski
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeah you are right. Penye ukweli usemwe, Bongo flava and Naija music.....and to some extent SAn music have taken the Kenyan music scene by storm, such that many Kenyans dont care about their own music that much.
Some Kenyans argue that they like Bongo flava cos it's poetic, the beats well organized, not as discordant as in the Kenyan music, but it is not clear to me why then SAn or Ngrian songa are more popular than the Kenyan songs cos they sound quite the same in terms of the tempo and the trashy messanges.
 
Mie wabana pua akina mondi siwasikilizi aise, lakini upande wa HipHop kutoka production hadi rappers nawapa heshima sana, akina Fid Q, Niki mbishi, joh makini, professa j wa zamani, G nako, marehemu Ngwair na Langa, jaymo mo technics mo flava 🙂, huwa na wasikiliza saaaana, but hawa mainstream kidogo nawapotezea. Hip Hop pia Kenya imeimarika, commercially though bongo flava iliteka soko zamani sana. Big up
 
Back
Top Bottom