PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

Cjakataa haitambuliki ila pia Kenya kuna wasanii renowned Africa kama group maarufu sana ya sauti Sol,jaguar etc sasa nitajie any of the above watanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bongo fleva kweli imeshinda kenyan muzik..hapo siwezi kanusha
 
bro hapa huna chakujitetea nafkiri ushaelewa
Nonono, hapa hakuna anajitetea, mziki wa bong zenye beats za haraka zinapendwa hapa Kenya. Same na zile za Sa na Nigeria. Lakn hiyo haimanishi nyimbo za Kenya ni hovyo.

Hebu sikiliza na hili

 
Naona wanavyompenda mtu kama Ali Kiba, utadhani wa kwao vile...
 
Ngoja nifike sehemu nianze kuweka ngoma za bongo. Bongo ni tami sana.
 
But I am Rock head, lately I have been fascinated by the music from our local bands- and they are awesome

 
WHY LIE..BONGO MUSIC HAS THAT BEAUTIFUL AFRICAN ORIGINAL BEAT..WHILE KENYANS TRY TO COPY AMERICAN RAP..KING KAKA TRIES BUT MOST KENYAN ARTISTS ARE JUST TRYING TO SOUND AMERICAN..
 
WHY LIE..BONGO MUSIC HAS THAT BEAUTIFUL AFRICAN ORIGINAL BEAT..WHILE KENYANS TRY TO COPY AMERICAN RAP..KING KAKA TRIES BUT MOST KENYAN ARTISTS ARE JUST TRYING TO SOUND AMERICAN..
sio tu kenya,hata tz wakati fulani wanamuziki wetu walikuwa wanajaribu ku-apply umarekani kwa kiasi kikubwa katika mziki wao.

baada ya mda wakaacha na kujikita katika aina ya ladha ya mziki wa kitanzania.hata hivyo,bado chembe chembe za u-western hazijaisha.wapo baadhi ambao wanajaribu ku-fuse bongofleva na western hiphop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…