Iconoclastes inaonekana unapenda aina fulani ya classic music which is not that popular to music lovers in EA.hata hao artist hapo juu,sidhani kama kuna mtanzania anawafahamu.pole sana.are they Kenyans?.[emoji23] [emoji23]Kenyan Rock bands.......oh, sema goosebumps!
Hakuna kitu hapo hapa my friendNonono, hapa hakuna anajitetea, mziki wa bong zenye beats za haraka zinapendwa hapa Kenya. Same na zile za Sa na Nigeria. Lakn hiyo haimanishi nyimbo za Kenya ni hovyo.
Hebu sikiliza na hili
Waekee na nyimbo ya Allykiba aje maana inawa bamba sana hio nyimbo17. Dogo Janja
Nataka niwaoneshe list ya wasainii waliopo Bongo.Waekee na nyimbo ya Allykiba aje maana inawa bamba sana hio nyimbo
Malaikaana ngoma yake mpya nimeisahau jina.ipo kule YouTube.hata mimi namkubari toka enzi za kleptomaniax.
Kuna Amini nayo balaa kwa wanaopenda RapMalaika
mzee wa iPhone7 mbona sikuoni?...umekimbilia wapi?.njoo tuendelee na mjadala.napenda zile comedic screenshot zako za wakenya toka Twitter. please keep on posting.[emoji23] [emoji23]Cjakataa haitambuliki ila pia Kenya kuna wasanii renowned Africa kama group maarufu sana ya sauti Sol,jaguar etc sasa nitajie any of the above watanzania