PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

Kenyan Rock bands.......oh, sema goosebumps!







Iconoclastes inaonekana unapenda aina fulani ya classic music which is not that popular to music lovers in EA.hata hao artist hapo juu,sidhani kama kuna mtanzania anawafahamu.pole sana.are they Kenyans?.[emoji23] [emoji23]
 
Nonono, hapa hakuna anajitetea, mziki wa bong zenye beats za haraka zinapendwa hapa Kenya. Same na zile za Sa na Nigeria. Lakn hiyo haimanishi nyimbo za Kenya ni hovyo.

Hebu sikiliza na hili


Hakuna kitu hapo hapa my friend
Sijui nimempenda msichana wakisonko hahahha
 
this is a stress free thread.kuwa huru ku-share music video yoyote ambayo una i-feel.

but also don't forget to share your opinion about kenyan music vs Tanzanian music.
 
Cjakataa haitambuliki ila pia Kenya kuna wasanii renowned Africa kama group maarufu sana ya sauti Sol,jaguar etc sasa nitajie any of the above watanzania
mzee wa iPhone7 mbona sikuoni?...umekimbilia wapi?.njoo tuendelee na mjadala.napenda zile comedic screenshot zako za wakenya toka Twitter. please keep on posting.[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom