PROOF: Kenyans love Tanzanian Music than Kenyan Music

Kenya namkubali sana NYASHINSKI
moja kati ya wasanii wa kikenya ninao wakubari ni johnny vigeti,huyu jamaa ni muasisi wa kundi maarufu la hiphop lililofahamika kama kalamashaka.

watoto wa juzi hawawezi mfahamu.
kuna wakati alijihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya.bila shaka kwasasa yupo vizuri.jamaa anafanya conscious hiphop ile "videadly".
 
Iconoclastes inaonekana unapenda aina fulani ya classic music which is not that popular to music lovers in EA.hata hao artist hapo juu,sidhani kama kuna mtanzania anawafahamu.pole sana.are they Kenyans?.[emoji23] [emoji23]
Sio lazima muwafaham, hata Tz kuna wanamziki wako sawa tu, wanatajika hapo Tz, lkn hawakulikani kabisa hapa Kenya. Hawa wanamziki Annael amewaweka hapo, mfano Dogo Jinja na Young Killer ( what a freaky name) sidhani kama wako popular hapa Kenya, siwafahamm..

When it comes to Tz or Naija music, I think Kenyans prefer songs by certain prominent artists, it's not that they would just like any song bcos it is from Tz or Naija.

Yes, the rock songs I hav posted above are by Kenyans. This kind of genre may not be very popular in this region, it I wanted to show the diversity of styles in our music industry.

Yet another song by the Kenya rock band, Simply Thomas

 
Unazingua. Maneno meengi kama muuza nyanya.
 
huwafahamu dogo janja na young killer yet umewataja kwa comment yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Ukiangalia dar watu hawapendi mziki mkubwa kwenye daladala
Ukitaka ugomvi na abiria fungulia mziki mkubwa kama matatu za nairobi zinavyo fanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…