Proof of Residence kwa Address ya Tanzania

Proof of Residence kwa Address ya Tanzania

Mtamba wa Panya

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
764
Reaction score
1,892
Habari zenu wakuu,

Kijana wenu kuna fursa ya kupiga pesa "ndefu" nimeiona huko kwa wenzetu a.k.a "ng`ambo". Katika mtiririko wa "kujaza makaratasi" nikajikuta naangukia suala la kuthibitisha anuani ya makazi a.k.a "Proof of Residence".

Kama mjuanyo hapa "Bongo" tunaletewa barua kupitia njia ya Posta ukipenda "P.O Box".

Swali langu kwenu ni Je, nawezaje kupata Proof-of-Residence kwa anuani ya hapa "Bongo"? Je, kuna taasisi yeyote ya Serikali wanatoa Residence Certificate yaani "Cheti cha makazi" hapa nyumbani? Na kama ipo, utaratibu ukoje? Kama haipo , unanishaurije?

Natanguliza Shukurani
 
Kijana wenu kuna fursa ya kupiga pesa "ndefu" nimeiona huko kwa wenzetu a.k.a "ng`ambo". Katika mtiririko wa "kujaza makaratasi" nikajikuta naangukia suala la kuthibitisha anuani ya makazi a.k.a "Proof of Residence".
Baadhi ya document zitumikazo hapa ni kama
* Bank Statement - Yenye Physical address ,

Iwapo anwani iliyopo kwenye bank statement ni ile P.O.BOX, waweza mwandikia Meneja wa tawi ulipo fungulia account kuomba akufanyie marekebisho ya anwani yako, Na hapo utampa physical address ; Kisha aprint , isainiwe na kugongwa muhuri.

* Utility Bills - Mfano: Tanesco bill, Dawasco bill etl (Kuwe na jina lako kamili na anwani yako)

Iwapo hauna hivyo vitu tajwa hapo juu.

* Mtafute wakili, Akuandalie na kukusainisha Affidavit form ; Ambapo naye ataisaini na kugonga muhuli; Unapoenda kwa wakili hakikisha unakitambulisho kimojwapo; Yaweza kuwa cha mpiga kura au kitambulisho cha Taifa.
Swali langu kwenu ni Je, nawezaje kupata Proof-of-Residence kwa anuani ya hapa "Bongo"?
Fuata muongozo hapo juu.
 
Baadhi ya document zitumikazo hapa ni kama
* Bank Statement - Yenye Physical address ,

Iwapo anwani iliyopo kwenye bank statement ni ile P.O.BOX, waweza mwandikia Meneja wa tawi ulipo fungulia account kuomba akufanyie marekebisho ya anwani yako, Na hapo utampa physical address ; Kisha aprint , isainiwe na kugongwa muhuri.

* Utility Bills - Mfano: Tanesco bill, Dawasco bill etl

Iwapo hauna hivyo vitu tajwa hapo juu.

* Mtafute wakili, Akuandalie na kukusainisha Affidavit form ; Ambapo naye ataisaini na kugonga muhuli.

Fuata muongozo hapo juu.

Thanks mkuu, God bless u
 
Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!

Minimum deposit ni $1=Tsh2,240 tu
 
Back
Top Bottom