Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Habari zenu wakuu,
Kijana wenu kuna fursa ya kupiga pesa "ndefu" nimeiona huko kwa wenzetu a.k.a "ng`ambo". Katika mtiririko wa "kujaza makaratasi" nikajikuta naangukia suala la kuthibitisha anuani ya makazi a.k.a "Proof of Residence".
Kama mjuanyo hapa "Bongo" tunaletewa barua kupitia njia ya Posta ukipenda "P.O Box".
Swali langu kwenu ni Je, nawezaje kupata Proof-of-Residence kwa anuani ya hapa "Bongo"? Je, kuna taasisi yeyote ya Serikali wanatoa Residence Certificate yaani "Cheti cha makazi" hapa nyumbani? Na kama ipo, utaratibu ukoje? Kama haipo , unanishaurije?
Natanguliza Shukurani