Baadhi ya document zitumikazo hapa ni kama
* Bank Statement - Yenye Physical address ,
Iwapo anwani iliyopo kwenye bank statement ni ile P.O.BOX, waweza mwandikia Meneja wa tawi ulipo fungulia account kuomba akufanyie marekebisho ya anwani yako, Na hapo utampa physical address ; Kisha aprint , isainiwe na kugongwa muhuri.
* Utility Bills - Mfano: Tanesco bill, Dawasco bill etl
Iwapo hauna hivyo vitu tajwa hapo juu.
* Mtafute wakili, Akuandalie na kukusainisha Affidavit form ; Ambapo naye ataisaini na kugonga muhuli.
Fuata muongozo hapo juu.