Propaganda: Kimahesabu tumedanganywa

Propaganda: Kimahesabu tumedanganywa

Uliona wapi timu ikakataa kuuza tickets? nipo Rwanda tickets zinauzwa ki electronic wewe upo huko Tandahimba una bwatuka tu kama chizi
Hao wengi mpira hawajui ndio tunao kwenye siasa huko wanaongea vitu visivyoeleweka tuu eti Timu itakataa kuuza tiketi ndio maana wahuni wanapewa Bandari Nchi haina watu..
 
Back
Top Bottom