Ufie ndani kwa amani.9th December sitoki.
Lakini namnukuu The mission 2017 :
"Nacho wapendea polisi hawana ubaguzi, uandamane usiandamane, Utiki usitiki, Uchome bara bara au uchome ubani risasi zitakuhusu tu 😀😀"
Toka nimesikia habari za 0912 nimekaa nazunguka ndani kutafuta angle ambazo hizi risasi za kuulia tembo sijui za kupasulia miamba walizoulia ndugu zetu hazitonifikia.
Hawa nao wanaokuja 0912 hatujui wanakujaje.
Namuomba MUNGU atende jambo kabla ya December
Ufie ndani kwa amani.
Hii ndio itatusaidia 👇Huna akili.
Watanzania waoga mno kufa.
MANGE ndiye alikuwa Kibwetele akawaambia kuwa Jeshi halimtaki mama hivyo linasubiri mtoke road kuchukua nchi yao.
Ile propaganda ilifanywa simple sana kwa kushirikiana Maaskofu
kadhaa . Mitandaoni kukasambazwa propaganda za video na sms za kubumba. Watu wakajaa.
Wakauliwa .
Ngoja nikuambie kitu, hilo jeshi ndo limeua sana Watanzania wakaidi ile 30-31.
Wananchi walipoona tofauti na waliyoambiwa na nabii wao wakarudi ndani. That's why wengine waliuliwa ndani kwao ila wote ni wale waliokimbilia ndani wakidhani serikali haina macho.
Cha ajabu mange anaandaa propaganda nyingine.
Kwa ufinyu wa ubongo wa Watanzania watamwamini.
Tarehe 10. December kitakuwa kilio kikuu.
Hatuna tatizo la kuuliwa sana na jeshi, ila tunajilaumu kwa kutokuwa na silaha. Safari hii tutazika wote. Location ya viongozi zinafahamika pamoja na hao askari. Wakati sisi tunazika na wao watakuwa wanazika familia zao. Bila silaha heshima haiwezi kupatikana.Huna akili.
Watanzania waoga mno kufa.
MANGE ndiye alikuwa Kibwetele akawaambia kuwa Jeshi halimtaki mama hivyo linasubiri mtoke road kuchukua nchi yao.
Ile propaganda ilifanywa simple sana kwa kushirikiana Maaskofu
kadhaa . Mitandaoni kukasambazwa propaganda za video na sms za kubumba. Watu wakajaa.
Wakauliwa .
Ngoja nikuambie kitu, hilo jeshi ndo limeua sana Watanzania wakaidi ile 30-31.
Wananchi walipoona tofauti na waliyoambiwa na nabii wao wakarudi ndani. That's why wengine waliuliwa ndani kwao ila wote ni wale waliokimbilia ndani wakidhani serikali haina macho.
Cha ajabu mange anaandaa propaganda nyingine.
Kwa ufinyu wa ubongo wa Watanzania watamwamini.
Tarehe 10. December kitakuwa kilio kikuu.
Wewe ni keyboard warrior tu, usituchosheOutdated propaganda katishie nyau sio mimi.
Unadhani Watanzania milioni 60 wote wana akii mbovu kama wewe?Eti keyboard warrior hamjifunzi kutokana na makosa, you did the same you are doing the same, Tanzania ina watu m60 waliokamatwa hawafiki hata elf moja.
Kijana naona unatutetea sana asante nimepokea maoni yako nikiwa kama Msemaji wa Abduli Ameir tutakupa hogo la Jang'ombe kama zawadi yako!Huna akili.
Watanzania waoga mno kufa.
MANGE ndiye alikuwa Kibwetele akawaambia kuwa Jeshi halimtaki mama hivyo linasubiri mtoke road kuchukua nchi yao.
Ile propaganda ilifanywa simple sana kwa kushirikiana Maaskofu
kadhaa . Mitandaoni kukasambazwa propaganda za video na sms za kubumba. Watu wakajaa.
Wakauliwa .
Ngoja nikuambie kitu, hilo jeshi ndo limeua sana Watanzania wakaidi ile 30-31.
Wananchi walipoona tofauti na waliyoambiwa na nabii wao wakarudi ndani. That's why wengine waliuliwa ndani kwao ila wote ni wale waliokimbilia ndani wakidhani serikali haina macho.
Cha ajabu mange anaandaa propaganda nyingine.
Kwa ufinyu wa ubongo wa Watanzania watamwamini.
Tarehe 10. December kitakuwa kilio kikuu.
Sawa.Walioandamana wamekufa au wamejeruhiwa na sanasana walipona wako rumande wakisubiri kujibu mashataka. Kama upo humu JF wewe ni Keyboad warrior tu. Usituchoshe
Pigo moja tu takatifuKabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga.
Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni', ilipofika saa 8 mchana moto ulipoanza kukolea sijawasikia tena.
Propaganda hiyo imekufa rasmi siisikii tena wamebaki kusema mali nyingi zimeteketea.
Nawakumbusha tu chawa wa mama na serikali yenyewe "Do not underestimate a quite guy". Wamesema 912 wanakuja tena kivingine, get prepared, au endeleeni kubeza mtavuna mabua.
Waache wabwabwaje tu, hiyo siku wache wabishe tuu. Kama shehe Majini alishindwa kuzuia risasi na hazikumlenga yeye bali vijana wa TZ basi na hiyo 9/12 wakitumia tena Sasa zitawalamba wasiyetegemeaKwahiyo sheikh majini na yeye alienda kujificha ndani?
kwa taarifa yako tu ilie ni asilimia ndogo, wengi walirudi mitaani, na bado wapo sana tuWalioandamana wamekufa au wamejeruhiwa na sanasana walipona wako rumande wakisubiri kujibu mashataka. Kama upo humu JF wewe ni Keyboad warrior tu. Usituchoshe
Watu mnaosikitikia mauaji ya wapalestina ndio hao hao mnaokejeli vifo vya watanzania wenzenu!Huna akili.
Watanzania waoga mno kufa.
MANGE ndiye alikuwa Kibwetele akawaambia kuwa Jeshi halimtaki mama hivyo linasubiri mtoke road kuchukua nchi yao.
Ile propaganda ilifanywa simple sana kwa kushirikiana Maaskofu
kadhaa . Mitandaoni kukasambazwa propaganda za video na sms za kubumba. Watu wakajaa.
Wakauliwa .
Ngoja nikuambie kitu, hilo jeshi ndo limeua sana Watanzania wakaidi ile 30-31.
Wananchi walipoona tofauti na waliyoambiwa na nabii wao wakarudi ndani. That's why wengine waliuliwa ndani kwao ila wote ni wale waliokimbilia ndani wakidhani serikali haina macho.
Cha ajabu mange anaandaa propaganda nyingine.
Kwa ufinyu wa ubongo wa Watanzania watamwamini.
Tarehe 10. December kitakuwa kilio kikuu.
Maandamano 2 watasalimiwa wengi.Nikikumbuka hawa vidampa wawili Lucas Mwashambwa na Yericko Nyerere walivyoaminisha watu kwamba hakuna atakayeandamana baadae wakaja kukana mabandiko yao ni dalili tosha wanatakiwa kusalimiwa wave two ya maandamano.
UNATESWA NA DAMU UKIWA WAPI?TSH 25M ZITAISHIA KUMTIBU MAMA YAKO KANSAHuna akili.