Propaganda za CCM kuwa Upinzani umekufa Tanzania aibu yao

Propaganda za CCM kuwa Upinzani umekufa Tanzania aibu yao

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
7,567
Reaction score
9,037
Kweli kwa mwendo huu upinzani umekufa Tanzania?Au walikuwa wanaota ndoto za mchana.
IMG_20200810_110707.jpg
IMG_20200810_110731.jpg
IMG_20200811_131215.jpg
 
Walijidanganya mno kipindi cha ile biashara ya wabunge na madiwani wenye njaa!!

Aibu yaja!!
 
Ngoja yaje mafuriko ya CCM muanze kusema wanaediti au wanasombwa na malori...
 
Mi naona ɓora waomɓe poo tu maana sio ƙwa mtiti huu😂😅
 
Hapa ndio wanashtuka kumbe walikua wananunua mapepe na kuacha ngano chini sasa inawamaliza kimya kimya.
 
Ndio kwanza upinzani unachipua tena kwa staili mpya.
 
Walidanganywa na waunga mkono juhudi wakadhani upinzani umekufa
IMG_20200802_135940.jpg
 
Back
Top Bottom