Propaganda za CCM kuwa Upinzani umekufa Tanzania aibu yao

Walijidanganya mno kipindi cha ile biashara ya wabunge na madiwani wenye njaa!!

Aibu yaja!!
 
Ngoja yaje mafuriko ya CCM muanze kusema wanaediti au wanasombwa na malori...
 
Mi naona ɓora waomɓe poo tu maana sio ƙwa mtiti huu😂😅
 
Hapa ndio wanashtuka kumbe walikua wananunua mapepe na kuacha ngano chini sasa inawamaliza kimya kimya.
 
Ndio kwanza upinzani unachipua tena kwa staili mpya.
 
Walidanganywa na waunga mkono juhudi wakadhani upinzani umekufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…