PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 969
- 1,055
Propaganda za Oakland zimewayumbisha The Guardian na vyombo vya habari. Mradi wa Regrow unaendelea na fedha zinatoka kama kawaida.
Kumekuwa na taarifa hasi kuwa benki ya Dunia imesimamishwa kuendeleza mradi wa REGROW taarifa hizi si za kweli ni upotoshaji wa taasisi ya Oakland institute.
Kuna kipande kidogo katika mkataba kinachotaka kuwa na ushirikiano wa mawasiliano kati ya benki ya Dunia na Serikali endapo hifadhi ya RUNAPA itawalazimu kufanya hivyo benki ya Dunia itapatiwa ufafanuzi wa namna gani watu watahamishwa kutoka hifadhini.
Hakuna mahali ambapo benki ya Dunia imesimamisha mradi usiendelee na shughuli kufungua Utalii wa kusinii zinaendelea kama kawaida ikiwemo kujenga Airstrips na hostels/cottages.
Benki ya Dunia wameitaka Serikali kuwa na mpango wa mawasiliano na uhamishaji na fidia kwa watu iwapo wataondolewa.
Serikali imekwisha yafanyia kazi na benki ya Dunia imetuma mtaalam tayari fedha za bakaa zilizobakia zitawekwa wakati wowote kuanzia sasa.
Mradi huu wa Regrow ulisainiwa mwaka 2018 Kati ya Benki ya Dunia na Wizara ya fedha na ni mkopo kusaidia kuinua utalii wa Kusini na zinahusika hifadhi za Tanapa kama Mikumi, Ruaha na Nyerere na uko zaidi ya asilimi 70 ya utekelezaji wake kukamilika.