Propaganda za wahindi wa St. Joseph

Propaganda za wahindi wa St. Joseph

stevejunior

New Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
2
Reaction score
1
hello,ijumaa radio uhuru wametangaza vyuo vya st.joseph college of engineering and technology tanzania,zambia,malawi na sierra lone vinachuzwa kutokana na ubovu wake,cha zambia kimefungwa kinaitwa st.uegene university..ki ukweli pale hakuna elimu ya juu..watu wana division four wanasoma degree.kuna walimu wana diploma wanafundisha degree cha ajab wanasema wana masters....watu weng hawavjui hvyo vyuo hakuna kusoma technology pale,mwaka jana kpnd cha mgomo taarifa za ubovu wa chuo zilipelekwa nacte lakin hakuna majibu
 
Ni bora aseme ili kama kweli hatua zichukuliwe. Si unajua bongo vitu fake ni rahisi kupatikana. Penye ukweli uongo ujitenga
 
ACHENI PROPAGANDA... Tupeni source ili tujue... Walimu wanaofundisha UDSM, IFM na dit NDIO hao hao wanafundisha na kule St.Joseph pia.. Ukitaka majina HOLLA at Me nitakwambia baadhi ambao wako COET pale
 
hivi jamani
Ukigraduate pale st.joseph unaweza kupata scholarship kama havard unvsty, cambridge au vyuo vyengine nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom