Proper Cribs (tusiogope kuitwa mafisadi)

Bado sijaona nyumba Bongo zaidi ya nyumba zile za enzi ya Roma,kuna siku nitaweka crib ya Akon hapa au zile za kwa mzee madiba ,hapa nyumba ni zile square

Weka crib yako sio ya Akon, wewe unalala wapi?
 
Uzuri wa
bongo hakuna sheria inayokuuliza umepata wapi ya kujenga kwa mfano hekalu la dola milioni moja wakati kipato chako ni Tsh laki sita,na isitoshe hilo hekalu limejengwa kwa cash kutoka mfukoni na si mkopo kutoka benki

Kwelimkuu, lakini wanakufuatafuata balaa! Kama ni mfanyabiashara ndy kabisa TRA hawaishi kupiga hodi malangoni pako!! teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…