Bado sijaona nyumba Bongo zaidi ya nyumba zile za enzi ya Roma,kuna siku nitaweka crib ya Akon hapa au zile za kwa mzee madiba ,hapa nyumba ni zile square
Weka crib yako sio ya Akon, wewe unalala wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sijaona nyumba Bongo zaidi ya nyumba zile za enzi ya Roma,kuna siku nitaweka crib ya Akon hapa au zile za kwa mzee madiba ,hapa nyumba ni zile square
Kwani Rev Kishoka aliambiwa kachakachua pesa au kachakachua mchoro alouwasilisha?
Michoro ina haki miliki mjue.
Uzuri wa
bongo hakuna sheria inayokuuliza umepata wapi ya kujenga kwa mfano hekalu la dola milioni moja wakati kipato chako ni Tsh laki sita,na isitoshe hilo hekalu limejengwa kwa cash kutoka mfukoni na si mkopo kutoka benki