Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Maisha yanaenda kasi sana kwa mila zetu za Kitanzania sidhani kama ni sahihi kwenda kuombewa na mtu akiwa hivi eti nabii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa naamini mwonekano Wa MTU sio MTU Ila MTU yupo ndani na sio NJE Nina ndugu zangu wanavaa nguo za kujistiri Sana Ila mambo yao wanayofanya yanatisha Sana.Wenye majini wataombewa?
ulishaambiwa ni mila zao huko zimbabwe, ondoa shaka, unaambiwa hata samson alikuwa na rasta za kutoshaMaisha yanaenda Kasi sana!Kwa Mila zetu za kitanzania sidhani kama ni sahihi kwenda kuombewa na mtu akiwa hivi eti nabii!
Kwa hiyo huna shida na muonekano wa nje wa nabii?Mimi huwa naamini mwonekano Wa MTU sio MTU Ila MTU yupo ndani na sio NJE Nina ndugu zangu wanavaa nguo za kujistiri Sana Ila mambo yao wanayofanya yanatisha Sana.
Kwa sisi tuliokulia mazingira ya kiroho huwa tunatazama Sana mambo ya ndani ya MTU na sio mwonekano Wa nje.
muonekano wa nje unaakisi kilichomo ndani, ki saikolojia ina athariWe unatazama mwonekano Wa nje tu
Sina shida ikiwa matendo Yake ni masafi that enoughKwa hiyo huna shida na muonekano wa nje wa nabii?
muonekano wa nje unaakisi kilichomo ndani, ki saikolojia ina athari
Truemuonekano wa nje unaakisi kilichomo ndani, ki saikolojia ina athari
ni kweli watu wanaweza kujegeuza muonekano wa nje kwa lengo fulani kufanya uovu, wanavaa kama watu wema ili wasidhaniwe ni waovu. Muonekano unaathiri matazamio ya mtu, chanya au hasi bila kujali huyo mtazamwaji ndani yukojeSio kweli ndo maana huwa mnaibiwa Kwa kudanganywa na outlook ya MTU mwonekano Wa nje ni Kama kava la simu tu kuna watu they dress decent Ila wanafanya mambo machafu Sana even in my family
Muonekano wa mtu ni akisi ya namna anafikiria.Mimi huwa naamini mwonekano Wa MTU sio MTU Ila MTU yupo ndani na sio NJE Nina ndugu zangu wanavaa nguo za kujistiri Sana Ila mambo yao wanayofanya yanatisha Sana.
Kwa sisi tuliokulia mazingira ya kiroho huwa tunatazama Sana mambo ya ndani ya MTU na sio mwonekano Wa nje.