Prophet Lovy Elias kukiwasha Kijitonyama

Prophet Lovy Elias kukiwasha Kijitonyama

Nyie hamtaki ku view status jamanii??!!
IMG-20231208-WA0003.jpg
 
unaenda kuwekewa mikono kumbe unapandikiziwa mapepo mabaya. Hii kuombewa kwa kuwekewa mikono na watumishi wa mungu ni kujihadhari sana, wengine si watumishi wa mungu ni maajenti wa shetani
Mi ni waombe watu wote wenye uelewa huu, tuwaombee wenzetu maana wengi wamekataa kujua neno ambae ndio Kristo mtenda miujiza.. Wao wanataka unabii na hivyo kila nabii akija kapeleka kichwa chake.... Kumbe wanao Kota maokoto ya kila ain Aya mapepo...

Watu hawafuatilii Historia ya hawa jamaa, jiulize hiyu nabii Passion Java ambae ndie mlezi wao, wakati malisa anaugomvi na mke wa ndoa.. Yule mama a Sema alipowambia Haku jibu chochote badala yake ndio anamsuppoty Malisa.. Kama nabii mlezi haoni shida ktk ndoa ya kijana wake na kuinusuru.. Maanake nini? Hao wao Lao moja uharibifu wa roho za watu... Binafsi naomba Mungu awape watu macho waone uongo wa shetani ndani yao... Nashukuru hata haya mavazi yameamsha akili za wengi...!
 
Mimi huwa naamini mwonekano Wa MTU sio MTU Ila MTU yupo ndani na sio NJE Nina ndugu zangu wanavaa nguo za kujistiri Sana Ila mambo yao wanayofanya yanatisha Sana.

Kwa sisi tuliokulia mazingira ya kiroho huwa tunatazama Sana mambo ya ndani ya MTU na sio mwonekano Wa nje.
Mambo ya ndani ni yapi mkuu?

Hivi wazo la kuchora tattoo huanzia Nje ya mwili ndani?

Kwenda kuzini au kutongoza mke wa mtu huanzia ndani ya mwili au Nje?

Vitu vyote unavyoviona Nje ndivo alivyo huyo mtu. Ndani ni theory tu practically ndo huonekana Nje ya mwili!

Hao ndg zako kinachowafanya wavae nguo nzuri za kujistiri huku matendo Yao ni maovu ni kwamba jinsi walivyo lelewa na jamii inayoyo wazunguka inaishi Kwa mwonekano huo siku wakitoka eneo wanalo fahamika watafanya kile kilicho ndani (moyoni) mwao! Kataa ukubali huu ndio ukweli!

Nina dada zangu huko mjini wanavaa suruali daily lkn ikifika ya kuja Kwa wazee home hutoona anae kuja na suruali Wala kimini ni mwendo wa madera tu
 
Maisha yanaenda kasi sana kwa mila zetu za Kitanzania sidhani kama ni sahihi kwenda kuombewa na mtu akiwa hivi eti nabii!

SAWA MM NAHESHIMU MADHEHEBU YENU WAKIRISTO; ILA WITO WANGU MPATE MAARIFA YA KWELI YA BIBLIA NA MJUE NAMNA YA KUITETEA IMANI YENU MBELE YA WAISLAM. HIVYO JITOKEZENI MKASIKILIZE MDAHALO BAINA YA MWL. NDACHA NA DR. SULE PALE PTA, SABA SABA TAREHE 16-17 DECEMBER 2023

View: https://www.youtube.com/live/MjV6HoXEAIs?si=LA4NBzAi2a2F6QMn
 
Mimi huwa naamini mwonekano Wa MTU sio MTU Ila MTU yupo ndani na sio NJE Nina ndugu zangu wanavaa nguo za kujistiri Sana Ila mambo yao wanayofanya yanatisha Sana.

Kwa sisi tuliokulia mazingira ya kiroho huwa tunatazama Sana mambo ya ndani ya MTU na sio mwonekano Wa nje.
Mtu wa nje anaakisi mtu wa ndani.
Hebu mtu wa ndani awe mzinzi uone kama wa nje atanyamaza kimya 🤣 🤣
 
Nitajiona siko sawa kama nitashindwa kupiga hela kwenye hili taifa lililojaa wajinga.
 
unaenda kuwekewa mikono kumbe unapandikiziwa mapepo mabaya. Hii kuombewa kwa kuwekewa mikono na watumishi wa mungu ni kujihadhari sana, wengine si watumishi wa mungu ni maajenti wa shetani
That's why sasa makanisa yanajaza ila tabia ni chafu kama watu wa mataifa
 
basi nitafsirie hii mistari
View attachment 2836265


Hii hapa mbona ni Kama imethibitisha point ya Dr Haya…

Hapo kwenye “msitegemee” na hapo kwenye “bali” pengine ndio panatafsirika tofauti.


Msitegemee- kwamba msizingatie tu mambo ya nje nje peke yake….

Bali- kwamba pamoja na vya nje kuwa vizuri Kama ndani kwa mtu huyo ni kwa hovyo na kubaya basi mtu huyo hafai….


Hence muonekano wa nje unakupa picha anayotaka muhusika uione lakini muonekano wa ndani ule wa asili na halisi mara nyingi sana ni tofauti kabisa na ule wa nje kwa asilimia nyingi.




Maoni Haya hayahusiani na Mada kuu.
 
ulishaambiwa ni mila zao huko zimbabwe, ondoa shaka, unaambiwa hata samson alikuwa na rasta za kutosha
Kwani huyu prophet Lovy, marehemu baba yake mzazi mwanamuziki Lovy Longomba, marehemu babu yake mwanamuziki Vicky Longomba na Awilo Longomba ambaye ni baba yake mdogo wote ni wa kutoka Zimbabwe?
 
Back
Top Bottom