Wapi pameandikwa kuwa ukiwa hivyo Mungu hawezi kutumia?..Mungu siyo Mjomba njia zake ni kuu sana kama anaweza kuyafanya mawe yamhubiri sembuse Dr. Lovy Elias Longomba?.
Andiko linalokataza tattoo, limejengwa kwenye mazingira ya kuzuia ibada za miungu. Biblia imekataza kunyoa denge na kujichora kwa ajili ya ibada za miungu. Mtu akiwa hivyo na siyo Kwa ibada za miungu tatizo ni nini?.