Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
uyu ndio mke wa nabii TB JOSHUA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm here again Money Stunna, for the rescue, it's 7 hours nw with zero commet, so sad- anaitwa nani huyu mkewe?
relax we jamaa...bila huyu mtu jukwaa hili haliendi, hata watu wacpokoment wanaupata ujumbe kimyakimya
I'm here again Money Stunna, for the rescue, it's 7 hours nw with zero commet, so sad- anaitwa nani huyu mkewe?
Una maneno ya dharau sana nani kakwambia JF tunalazimisha kukoment
Mkuu labda hujanielewa tu, mimi ni mshabiki wa post zako na sipendi kuziona zikiwa na zero comment baada ya kuziweka kwa muda mrefu, nadhani hujanielewa tu, sina dharau hata kidogo
Sasa yeye moneystunna ndo anatakiwa ajisikie vibaya au wewe?acha kujibebesha mizigo isiyo yako utakufa presha bureeee
![]()
uyu ndio mke wa nabii TB JOSHUA
What is this for? Amefanya nini huyo mama?
Ukitoa maombezi uwa anasaidia sana wenye matatizo.
Mkuu, SI unaona tulivyoi revive hii sredi sasa inapata comments na malike ya kumwaga?, tupo pamoja mkuu, tunalisongesha