GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Nani anayetaka kumwua Rais mstaafu wa DRC?
Uebert Angel, muhubiri aliyejipatia umaarufu kupitia tabiri nyingi alizozitabiri kutimia, ametabiri kuwa maisha ya mtajwa yapo hatarini. Anaonya kuwa hata South Africa si salama kwake.
Aliona katika maono Joseph Kabila akiwa amekimbilia South Africa akiamini ni mahali salama kwake, lakini kwa mujibu wa Uebert Angel, si salama kwani mmoja wa watu wake wa karibu ni miongoni mwa wanaoshirikiana na watu wanaotafuta kumwua.
Wanaoutafuta uhai wa huyo Rais mstaafu ni akina nani?