Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Amekutapeli nn mkuu😀Tapeli tu huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekutapeli nn mkuu😀Tapeli tu huyo
Sio kutakuwa na ukweli ndo hivyo!na we tu umefunuliwa .Kaka hili swala litakuwa na ukweli ndani yake,siku mbili zilizopita niliota kuna makundi 2 yanapigana Drc.Kundi moja lilikuwa upande wa kulia na lingine upande wa kusho, lile kundi la upande wa kushoto alikuwapo JOSEPH KABILA sasa yakatokea mabishano ya kurushiana risasi.
Watu wa KABILA wakatangulia mbele kwenda kuwamiminia risasi lile kundi jingine.Sasa bwana KABILA akaona watu wake wanachelewesha kazi ikabidi aende Front mwenyewe,aliwafatulia risasi nyingi sana wale maadui zake lakini jamaa walifanikiwa kumuua kwani walikuwa wako wengi na njia aliyotaka kuvuka ilikuwa THE HARD WAY so hakuna ambaye angeweza kuvuka kwa watu waliokuwa upande wake.JE NA MIMI MAHARAGE YA UKWENI NI TAPELI?
Kiukweli hajawai kunitapeli lakini yeye kama yeye anaccess na Kabila kwanini asimwambie ilikumuepusha na hayo matatizo hofu yangu ni hapo tu mkuu.Amekutapeli nn mkuu😀
Duh aje Bongo ni salama sana
Si mtoto wa Hapa Mnazi mmoja
Sasa huo uongo unatokea wapi wakati Kila kitu kinaonekana kwenye tv!.Kila mtu anaona!Mimi naamini hicho kinachoitwa documentary ya Gold Mafia kinaweza kikawa ni uzushi uliochochewa na maadui zake!
Kama kuna kosa alilofanya angeweza kuendelea kuishi kwa uhuru nchini Uingereza? Kumbuka kule si Afrika ambako kubebana ni kawaida. Kule hata Waziri Mkuu akilikoroga anaondoshwa madarakani, sembuse mtu mwingine baki tena raia mwenye asili ya Afrika! Angekuwa na makosa Uingereza ingesmshughulikia. Hayo ya Al Jazeera yanaweza yakawa uongo mtupu.