GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Nyoka Wana wa majokaUnabii huo umekuwa delivered! Nabii kamaliza sehemu yake; kazi kwenu kuupokea au kuukataa enyi kizazi cha nyoka; nihangaike nanyi hadi lini? Asema Bwana wa Majeshi kwa neno la nabii.
Unabii unawaingia kweli kweli!Hao wanaume wanafiki wanamzingua eti "mmh", "mmh",...."mmmmmhhhh"😂
Inawezekana pia kwenye "party" ya assassin's Kuna mwenzao kauza hii taarifa kwa "nabii".Mambo ya idara za intelijensia la kiafrika hayo. Wana spin mambo kama unabii.
Yaani wanaweza kupanga kukuua alafu hao wachungaji matapeli wanaanza kufanya spinning kuwa wameoneshwa umekufa
Mimi naamini hicho kinachoitwa documentary ya Gold Mafia kinaweza kikawa ni uzushi uliochochewa na maadui zake!Au inawezekana kwenye "party"
Inawezekana pia kwenye "party" ya assassin's Kuna mwenzao kauza hii taarifa kwa "nabii".
Ukifikiria kwa undani unaweza ona hii Biashara ikiwezekana kufanyika.
Rejea ushiriki wake kwenye documentary ya Gold Mafia,ya Al Jazeera.Huyu jamaa ni muhuni wa kutupwa ana access ya Rais wa Zimbabwe wakati wowote ule.
Inawezekana ametonywa hamna cha unabii.
Tapeli tu huyo
Ujanja ujanja na utapeli mtupu.Kaka hili swala litakuwa na ukweli ndani yake,siku mbili zilizopita niliota kuna makundi 2 yanapigana Drc.Kundi moja lilikuwa upande wa kulia na lingine upande wa kusho, lile kundi la upande wa kushoto alikuwapo JOSEPH KABILA sasa yakatokea mabishano ya kurushiana risasi.
Watu wa KABILA wakatangulia mbele kwenda kuwamiminia risasi lile kundi jingine.Sasa bwana KABILA akaona watu wake wanachelewesha kazi ikabidi aende Front mwenyewe,aliwafatulia risasi nyingi sana wale maadui zake lakini jamaa walifanikiwa kumuua kwani walikuwa wako wengi na njia aliyotaka kuvuka ilikuwa THE HARD WAY so hakuna ambaye angeweza kuvuka kwa watu waliokuwa upande wake.JE NA MIMI MAHARAGE YA UKWENI NI TAPELI?
Hoja yangu ilikua ya kwamba yeye ana access yakuonana au kukutana na kabila kwanii hakumtahadharisha na kalifanya hilo swala kwenye vyombo vya habari??? Hiyo ndio hofu yangu maana nahisi anataka credit tu yeye , wewe sio tapeli na wala sina shaka na ww.Kaka hili swala litakuwa na ukweli ndani yake,siku mbili zilizopita niliota kuna makundi 2 yanapigana Drc.Kundi moja lilikuwa upande wa kulia na lingine upande wa kusho, lile kundi la upande wa kushoto alikuwapo JOSEPH KABILA sasa yakatokea mabishano ya kurushiana risasi.
Watu wa KABILA wakatangulia mbele kwenda kuwamiminia risasi lile kundi jingine.Sasa bwana KABILA akaona watu wake wanachelewesha kazi ikabidi aende Front mwenyewe,aliwafatulia risasi nyingi sana wale maadui zake lakini jamaa walifanikiwa kumuua kwani walikuwa wako wengi na njia aliyotaka kuvuka ilikuwa THE HARD WAY so hakuna ambaye angeweza kuvuka kwa watu waliokuwa upande wake.JE NA MIMI MAHARAGE YA UKWENI NI TAPELI?
Familia yake kwa maana ya Mama mzazi, dada zake, mkewe na watoto wake wote wanaishia Dar. Mwanzo wakiishi Mwenge nahisi sasa hivi wanakaa Msasani au Masaki. Hapa Tanzania ni SALAMA SANA kwake na siamini kama yuko Afrika Kusini.Duh aje Bongo ni salama sana
Si mtoto wa Hapa Mnazi mmoja