Prophet Uebert Angel: Maisha ya Joseph Kabila yapo hatarini

Sio kutakuwa na ukweli ndo hivyo!na we tu umefunuliwa .
Hata issue ya trump alisema last yr, na this yr km mwezi wa 4 hivi alirudia tena,na akatoa details!
Ila SI unajua watu kupuuzia!

Haya issue ya Kenya pia kaongelea ukiacha hii maandamano yaliyopita Kuna nyingine inakuja ya kiongozi kuuwawa, tena ss hii hajasema peke yake .
Wapo 4 kutoka nchi tofauti wameelezea kitu hikohiko Kwa nyahati tofauti
 
Ok
Ila Haina ubaya pia,maana inategemea na maelekezo pia!
Na waliopna ni wengi sio yeye tu
Kutoka mataifa tofauti Kwa nyakati tofauti
 
Sasa huo uongo unatokea wapi wakati Kila kitu kinaonekana kwenye tv!.Kila mtu anaona!
Haikuwa taarifa za uzushi,hakuhusika peke yake kwenye hiyo makala ya uchunguzi.Wamehusika vigogo wakubwa kuliko yeye.
Kwa hiyo Al Jazeera waandae makala hiyo mahususi kwa ajili ya kumzushia yeye peke yake?
Huo uzushi kwa faida ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…