Proposal for a modern Dairy Factory Around USD 282,100 OR TZS 648,000,000

Proposal for a modern Dairy Factory Around USD 282,100 OR TZS 648,000,000

snail

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
462
Reaction score
142
Niliandaa hii plan kwaajili ya mteja wangu mmoja hapa Tanzania lakini hatimae alikosa kiasi cha pesa cha kuwekeza katika mradi.

Mradi unahusisha kusindika lita elfu kumi (10,000L) za maziwa kwaajili ya kuzalisha bidhaa za yogoti, mtindi na maziwa fresh na kuweza kfungashwa/packaging katika chupa za plastiki (250ml - 1000ml) na vikombe vya plastiki (150g - 500g).

Ni mradi mzuri sana nimeona niweke hapa ili akiwepo mteja mwingine mwenye malengo yanayofanana niweze kumsaidia. angalia kiambatisho ukiupenda tunaweza kuwasiliana kwa namba 0786283599 au barua pepe: [email protected] kwa maelezo zaidi.
 

Attachments

Mkuu huu mradi pesa ya kuweka hapo watu wanayo ila shida namna ya kupata hayo maziwa
 
Mkuu maziwa ipo namna ya kuyapata, sema mazingira ya sasa ya uwekezaji..sio rafiki..
 
Back
Top Bottom