Proposal writing na address za proposal granters

Adm

Senior Member
Joined
Sep 19, 2010
Posts
149
Reaction score
45
Jamani naombeni msaada kwenye hili langu jambo. Mimi ni miongoni mwa watanzania ambao tuna fikra za kuanzisha miradi mbalimbali lakini tatizo linakuwa ni fedha. Baadaye unapata wazo la kuandika proposal ili upate ufadhili,tatizo jingine linakuwa namna ya kuandika hiyo proposal na nani/wapi pa kuituma hiyo proposal(I mean granters)mwenye ufahamu wa namna ya kuandika proposal na anuani za hao granters naomba anisaidie
 
ha haaaa haaaaa ......spoon feeding !!!!!

all the best
 
Kuna uzi ulikuwa unahusu jinsi ya kupata grants za research na vitu kaa hivyo hapa jamvini, usake, labda ukiupata utawasaidia na wenzio huko uswazi.
 
ha haaaa haaaaa ......spoon feeding !!!!!

all the best

Ulichochangia/ulichoandika kimefanya personal status yako idecrease dramatically. Pia unaishushia hadhi hii familia(Home of Great Thinkers), A great thinker can't act in such a way,instead he/she could think widenly and try to make an intelligent guess of the fates for what he/she planning to say. Na kwa vile una childish behaviour utaanzisha ligi ya majibizano
 
Are you looking for a loan or a grant? A loan has to be paid back with interest while a grant doesn't have to. Uko Tanzania au nje ya nchi? Idea yako ni mpya au kuna mtu ameshawahi kufanya kitu kama hicho? Kama uko Tanzania inaweza kusaidia kutafuta agency ya serikali inayohusika na your investment idea. Kama ni kilimo, uende wizarani ili upate information zaidi kuhusu idea yako watakuelekeza agencies ndani ya wizara au NGOs zinazoweza kukusaidia. Kama uko nje ya nchi mambo yanaweza kuwa tofauti kutegemea uko nchi gani.
 

asante kwa mchango wako udasa.mi nipo tz
 

Ungetoa hint za wazo lako,imgekuwa ni muafaka zaidi lakin nitajitahidi hivyo hivyo. But kablaya yote, nina swali moja Mkuu, Je wewe una taasisi (NGO) utakayoitumia wakati wa implementation za hiyo project?
Kama ndiyo basi ni vyema,na kama sio basi ungeanza kulifanyia kazi hilo. Na je huomradi wako umekaa kibiashara zaidi (for profit) au ni not for profit?

Sasa turudi kwenye hoja za msingi.KwaTanzania hapa kuna
Foundation for Civil Society
Haidery Plaza, 5th floor
Upanga/Kisutu Street
P.O. Box 7192
Dar es Salaam
Tanzania
Tel:+255 22 - 2138530 / 2138531 / 2138532
+255 744 - 760770
+255 741 - 323175
Fax: +255 22 - 2138533
E-mail: information@thefoundation-tz.org
[TABLE="class: darktxt, width: 13"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hawa jamaa kuna fund wanatoa kama ukikidhi vigezo, na suala la proposal lisikupe headache kwan wana template ambazo ni user friendly na zinakuongoza namna ya kujaza. Unaweza ukawatembelea HAPA

Pia kuna project moja ya SIDA inaitwa Innovation Against Poverty. Hawa hata kama ni private company, ambayo inafocus kutengeneza faida zaidi, unaweza ukafanya nao kazi ili mradi mradi wako uwe na imapct kubwa kwenye Jamii na uwe unaengage watu (hapa nakushauri uwatembelee mara moja) na utawapata HAPA

Suala la Proposal. Hawa nao wanaform maalum ambazo ni user friendly, na zinatoa muongozo wa namna ya kujaza. Kuna hizo attachment zina, guide for applicant, A guide to the IAP assessment criteria, application forms na detailed budget and activity plan. Hebu fanyia kazi hizi kwanza.

Kila la heri
 


Thank you very much Entrepreneur for a great advise, if we could have just 20 members in this forum like you the whole country would change, please keep on..
 

wewe ni mtanzania kweli?
 


Thanks a lot for this piece of wisdom!!! watu wengine ni wa ajabu. Mtu ameuliza anaomba msaada unatoa majibu kama vile hujafundwa na wazazi, walimu, majirani, marafiki na jamii kwa ujumla. Let us learn from others
 

MKUU MIMI SIAKUELEWA KABISA,

1. Je unataka proposala ya aidea yako ya biashara?
2. Je unataka kundika proposal ya miradi ya kijamii?
Mfano: Maji, Elimu, Mazingira, Utamaduni, biashara na kazalika

MKUU KWANZA KUHUSU PROPOSAL

1. Mkuu kuna taasisi nyingi huwa zinatoa grant za miradi mbalimbali ya kijamii ila kwenye proposal hapo ndo kuna mziki mkubwa sana, kama unataka kuandika proposal mathalani ya kuwasaidia wananchi wa huko karagwe kuhusu jambo fulani, huwezi iandikia proposal Dar mkuu, ni lazima uende eneo husika ukae chini ukorect Data, na uonanae na washika dau mbalimbali uwahoji,

- Kwa proposal za kusaka grant ya maana mathalani kutoka nje ya nchi lazima iwe proposal iliyoenda shule mkuu na kwa proposal ya kunadikiwa mtu akiwa maekaa ofisini asikudanganye mtu,

1. KWA PROPOSAL ZA BIASHARA
Nayo ni kwamba lazima ufanye fesibility study ya kutosha kuhusu aidea yako na uende kwenye tasisi mbalimbali za serikali na binafisi uchukue some data hopo ndo unaweza develop sound proposal ambayo hata ukiitwa kwenda kuipresent hutashindwa.


MWISHO KABISA KWA SASA MASHIRIKA MENGI YA NJE YA NCHI HAYATOI GRANT KWA NGOs ZA WATANZANIA HII NIKUTOKANA NA USANII MWINGI SANA WA BAADHI YA NGO NA HAYA MASHIRIKA YAMEKUWA YAKITUMIA MASHIRIKA YA WAZUNGU YALIYOKO TANZANIA,

1. Cheki mfano wa miradi ya ukimwi wanatumia sana mashirika yao yaliyoko huku Tanzani
Kuna taarifa nyingi sana kwenye mitandao ambazo zinachafua NGOs za Tanzania zinazomilikiwa na wabongo wenyewe na hii imewafanya wawe wagumu sana
 

Asante mkuu kwa mwongozo wako,ngoja nifanyie kazi hiyo kwanza kama ulivyonishauri
 

Kamanda hapo kwenye red tunakubaliana ila naomba tukubaliane kutokukubaliana pia. Bado zipo NGO za kitanzania zinazofaidika na hizo Grants. Lakini pia kuna stratergy moja inayotumika ya kushirikisha Taasisi (NGO) za huko huko magharibi ili kuongeza credibility

But hii project ya innovation against poverty IAP iko tofauti kidogo kwani inakubali hata private business ili mradi ziwe idea ziwe innovative na iwe inaingage watu. Thats it

Zoezi hili si rahisi kama linavyoonekana but, it worth trying my friend, kwani hata kama usipopata utakuwa umejifunza kitu cha ziada

Hebu pitia hapa uone hizi innovation
More than 20 organisations have been awarded grants so far from Innovations Against Poverty to pilot or to scale up their inclusive business projects . Their activities stretches across Sub-Saharan Africa and South Asia.
 

strategy zipi zinaweza kutumika kuhusisha tahasisi za maghalibi?
 
Asante mkuu kwa mwongozo wako,ngoja nifanyie kazi hiyo kwanza kama ulivyonishauri

Kama utakuwa interested na hiyo IAP basi usijisumbue sana kuhusu NGO kwani wao wanatoa grants hata kwa wafanyabiashara ili mradi ukidhi vigezo. Na kizuri zaidi wanatoa hata kama ndio unaanza (start up)

Halafu ungejitahidi kutoa information za kutosha ili upate ushauri muafaka ungepata kutoka kwa wadau wengine. At least ungejibu maswali ya huyu Komandoo

MKUU MIMI SIAKUELEWA KABISA,
1. Je unataka proposal ya idea yako ya biashara?
2. Je unataka kundika proposal ya miradi ya kijamii?
Mfano: Maji, Elimu, Mazingira, Utamaduni, biashara na kazalika
 
strategy zipi zinaweza kutumika kuhusisha tahasisi za maghalibi?
Mkuu hiyo kuhusisha NGO (taasisi) za huko ndio stratergy zenyewe sasa. Mfano. Kama wewe/nyie mna NGO yenu ya Kitanzania, basi mnatafuta NGO (let say ya Sweden) ili muwe partners. Hii inaongeza sana credibility kwenye maswala ya funding, kwani kama alivyosema Komandoo, taasisi za kitanzania zimeanza kuogopeka kutokana na ulaghai wao
 
dah! Mfundishe mjasiriamali mwenzio.
Hus usimhukumu LAT, kwani kuna dot ameziacha, hivyo huwezi jua alikuwa anamaanisha nini mpaka aziunganishe mwenyewe. (just guessing). Labda alimaanisha "Haa haaa dont like spoon feeding! Tafuta washauri wa kibiashara". (msisisitizo ni wa kwangu)

Indeed kuna washauri kama Babalao ambaye ni mdau humu jamvini, hivyo ninamshauri mleta mada asisite kuwatembelea watu kama hao hasa linapokuja suala la utaalamu. Na anapatikana
Sinza Kwa Remi
KINONDONI
DAR ES SALAAM
TANZANIA

cnazi2002@yahoo.com
255755394701
255755394701
http://www.mshauri.com

[TD="width: 40"]
[/TD]

[TD="width: 40"][/TD]
Au DATAWORK ASSOCIATE LIMITED
Angalizo

Huduma hizi ni za kitaalamu na zinalipiwa
 

Asante nimekusoma mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…