Ungetoa hint za wazo lako,imgekuwa ni muafaka zaidi lakin nitajitahidi hivyo hivyo. But kablaya yote, nina swali moja Mkuu, Je wewe una taasisi (NGO) utakayoitumia wakati wa implementation za hiyo project?
Kama ndiyo basi ni vyema,na kama sio basi ungeanza kulifanyia kazi hilo. Na je huomradi wako umekaa kibiashara zaidi (for profit) au ni not for profit?
Sasa turudi kwenye hoja za msingi.KwaTanzania hapa kuna
Foundation for Civil Society
Haidery Plaza, 5th floor
Upanga/Kisutu Street
P.O. Box 7192
Dar es Salaam
Tanzania
Tel:+255 22 - 2138530 / 2138531 / 2138532
+255 744 - 760770
+255 741 - 323175
Fax: +255 22 - 2138533
E-mail:
information@thefoundation-tz.org
[TABLE="class: darktxt, width: 13"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hawa jamaa kuna fund wanatoa kama ukikidhi vigezo, na suala la proposal lisikupe headache kwan wana template ambazo ni user friendly na zinakuongoza namna ya kujaza. Unaweza ukawatembelea
HAPA
Pia kuna project moja ya SIDA inaitwa
Innovation Against Poverty. Hawa hata kama ni private company, ambayo inafocus kutengeneza faida zaidi, unaweza ukafanya nao kazi ili mradi mradi wako uwe na imapct kubwa kwenye Jamii na uwe unaengage watu (
hapa nakushauri uwatembelee mara moja) na utawapata
HAPA
Suala la Proposal. Hawa nao wanaform maalum ambazo ni user friendly, na zinatoa muongozo wa namna ya kujaza. Kuna hizo attachment zina, guide for applicant, A guide to the IAP assessment criteria, application forms na detailed budget and activity plan. Hebu fanyia kazi hizi kwanza.
Kila la heri