Prospectus ya Arusha Technical College (ATC)

Joined
Feb 2, 2015
Posts
66
Reaction score
73
Nimewahi kuomba namna ya kuipata prospectus ya chuo cha ATC lakini sijapata msaada na bado naihitaji.

Pamoja na kuendelea na ombi langu ila najiuliza kwa nini chuo cha ATC hawaweki prospectus yao kwenye website yao wakati vyuo vingine vinavyotoa elimu ya juu vinafanya hivyo?
 
Kwakweli hata na mimi naihitaji, nimefuatilia sana sijapata muafaka.
Kwa wakati huu tuliopo ni ajabu sana Chuo kutoweka wazi prospectus sababu yale mambo ya mtu kuingia kichwakichwa kusoma mivitu usiyoihitaji ishapitwa na wakati
 
Kwa wakati huu tuliopo ni ajabu sana Chuo kutoweka wazi prospectus sababu yale mambo y

Kwakweli hata na mimi naihitaji, nimefuatilia sana sijapata muafaka.
Kwa wakati huu tuliopo ni ajabu sana Chuo kutoweka wazi prospectus sababu yale mambo ya mtu kuingia kichwakichwa kusoma mivitu usiyoihitaji ishapitwa na wakati
Yap kwakweli wana mambo ya kienyeji sana.
 
Back
Top Bottom