Prosper Mnjari adaiwa kupotea baada ya kuchukuliwa Agosti 2 na watu waliojitambulisha TANESCO

Alivunja nguzo za umeme au
 
Tanesco wanakuchua wanakupeleka wapi?, akili inatakiwa ifanye kazi chap! , unawaambia nafuata kitu ndani mara moja, hufungui mlango na unawajazia watu, unafanya chochote kile wasiondoke na wewe...Hii nchi ina use-nge sana.
Ndio nashangaa na nyumba sio yake sasa ye kaenda kufanya nn ?kuna kitu hakiko sawa kwenye hili jambo
 
Ndo maana yule mwamba zakaria aliwapiga shaba
 
Watu wa dar ni wazembe sana mtu anachukuliwa mmeangalia ....ukiona hivo Kodi hata boda sita fatilieni ohoo.
 
Hivi inakuwaje mtu anakufuata nyumbani kwako, halafu kirahisi unakubali tu kuondoka nao kwenda kusikojulikana!!
Ndivyo wabongo tulivyo. Tunapelekwa pelekwa tu hata kama hatujui tunakoenda.

Hapo Kenya humchukui mtu hovyo hovyo/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…