Emmanuel Akim
Member
- Jun 9, 2017
- 71
- 16
- Thread starter
- #21
THINK BIG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
goba bei gani,,,isiwe mbali na lami mpya,,,,au kama unavyo temboni moro road nambiew ukitaka vya bei zetu pia vipo we nitafute tu boss goba goba uko bunju A bunju B viwanja vipo ni wewe tu mkuu
Mkuu wewe ni Mkurya??Wenzio wanapiga Sm wa natakaka wakakiangarie
Nadhani kaiandika akijua ina uzito wa TSH.Anaijua hiyo $700,000 au anaisikia tu?
Nitafutie plot mbweni.w ukitaka vya bei zetu pia vipo we nitafute tu boss goba goba uko bunju A bunju B viwanja vipo ni wewe tu mkuu
Hao wanajua biashara makubaliano labda mtapunguza sana ndio maana wanataka kuja kukiona. Lakini kiukweli kamwe hamuwezi kuuza bei hiyo kwa mwaka huu. Hiyo bei ime akisi uandishi wako wa PROT FOR SALE badala ya PLOT FOR SALE. Kwa jinsi ninavyojua taarifa ya mijengo flani iliyo maeneo mazuri pembezoni mwa bahari hapa mjini wanashindwa kuuza kwa Tsh 1B zidhani kama unaweza kuu hiyo plot kwa Tsh 1.54B (hii ni baada ya kubadili hizo dola zako $700,000 kwenda TZS=TSH)Wenzio wanapiga Sm wa natakaka wakakiangarie
Kipi tuelewe unachouza, prot au plot. Au ni lugha gongana