Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Kivipi na kwa lipi? Kweli ni tetesi.Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa mapokezi
Woooi haitakaa iwe.Tunataka Bukoba iwe kama Dubai!!
MMmh dini zingine hizi, haya.Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kinda kamati ya Maandalizi ili tuwe mapokezi makubwa dunia itutambue.
Punguza wivu DadaLabda umemtaja wewe.
Acheni upumbavuProtase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
Kama wewe siyo? Ila najua hujui kuwa hujui chochoteHujui chochote
Okey binti yanguPunguza wivu Dada
Hii habari itakuwa mbaya sana kwa mjalaana samia bushiri na wahuni wenzie na wale mashehe wa kusukwa na ccm😁😁😁😁Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
Mswahili ateuliwe Papa?Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.