Protase Rugambwa: Askofu Mwandamizi Anayeripoti Kituo chake cha Kazi Jimboni Tabora 25 Juni 2023

Effectively demoted.

Karudishwa kwao, kaonekana hafai hata kupelekwa Msumbiji?.

Sasa sijui kadhihirisha vipi kwamba "wapo watanzania wakipewa nafasi... wanaonyesha uwezo mkubwa wa kufanya majukumu makubwa duniani.
Huenda uko sahihi, but usahihi wako ni kwa kutokujua

Nafasi za uongozi nyingi ROMA, ni miaka 10, then unapewa majukumu mengine

Pia askofu wa Tabora anaweza kufa muda wowote, kwa hali aliyonayo. Hivyo utaratibu wa kanisa ni kumuandaa mrithi mapema

Hapo awali ilisubiriwa hadi askofu afe au astaafu ndipo mwingine ateuliwe. Lakini kwa sasa, kanisa linaziba ufa huo mapema ili kusiwe na ukosefu wa huduma za kiaskofu jimboni
 
NIONYESHE mahali panaposema askofu wa Katoliki akizeeka wanamtoa kumwahi kabla ya kufa, ndio maana wamemtoa wa Tabora.

Na unionyeshe mahala panaposema nafasi za uongozi Vatican ni miaka kumi kumi

Ili tujue kwamba kweli taratibu zimefuatwa kumrudisha Rugambwa kwao alikotokea

Unajua Mwafrika unaweza kumfurusha mahala na asijue wala asijiulize kwa nini kafurushwa.... yupo yupo tu...... wanadhani wanapendwa saaaana na mzungu.... anarudishwa kwao anasifiwa na wenzake yamekwisha... Mataifa mengine wanahoji kila kitu na haki zao na maslahi yao. Mwafrika kalala zzzziiiiiiiii..... Vatican City na Tabora Dayosisi wapi na wapi !!!!!
 
Makala nzuri sana. Inaelekea ukoo huu wa Rugambwa umebobea sana katika kanisa Ktoliki. Kardinali Rugambwa alikuwa mtu na nusu wakati wake. Nakumbuka tulipokuwa tunamaliza darasa la saba watoto wa kike walikuwa wanaota kwenda shule za Rugambwa Sec School, Ngaza Sec Scool, Bwiru Girls na Tabora Girls. Rugambwa ndiyo ilikuwa inaongoza kupendwa na wanafunzi wa kike kwenye eneo la kwetu.
 
Na huyu wa tatu je, Novatus Rugambwa.
Yeah Kuna RUGAMBWA watatu wote ni wamekuwa maaskofu.

1. HIs eminence Laurean cardinal RUGAMBWA (R. I. P)

2. HIs Excellency Novatus RUGAMBWA (balozi wa papa huyo mataifa ya mbali)

3. His Excellency Protase RUGAMBWA(newly appointed archbishop diocese of Tabora)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…