Ruzoka anaumwa nini hadi akaribie kufa?Huenda uko sahihi, but usahihi wako ni kwa kutokujua
Nafasi za uongozi nyingi ROMA, ni miaka 10, then unapewa majukumu mengine
Pia askofu wa Tabora anaweza kufa muda wowote, kwa hali aliyonayo. Hivyo utaratibu wa kanisa ni kumuandaa mrithi mapema
Hapo awali ilisubiriwa hadi askofu afe au astaafu ndipo mwingine ateuliwe. Lakini kwa sasa, kanisa linaziba ufa huo mapema ili kusiwe na ukosefu wa huduma za kiaskofu jimboni
Jamaa ni noma sana, kukubalika namna hiyo sio mchezoUkisikisikia makachero wabobevu wa kimataifa,ndiyo hao sasa,halafu mtu anataka kulibeza kanisa katoliki,thubutu uone.Lipo kila mahali,likitenda kazi yake mchana na usiku,popote pale,kuanzia kitongojini hadi levo ya dunia.
Time will tell (itunze hii)NIONYESHE mahali panaposema askofu wa Katoliki akizeeka wanamtoa kumwahi kabla ya kufa
Na unionyeshe mahala panaposema nafasi za uongozi Vatican ni miaka kumi kumi
Ili tujue kwamba kweli taratibu zimefuatwa kumrudishwa Rugambwa kwao alikotokea
Unajua Mwafrika unaweza kumfurusha mahala na asijue wala asijiulize kwa nini kafurushwa.... hahahahaaaaa...... wanadhani wanapendwaaaaa na mzungu.... mataifa mengine wanahoji kila kitu na haki zao na maslahi yao. Mwafrika kalala zzzziiiiiiiii..... Vatican City na Tabora Dayosisi wapi na wapi !!!!!
Jibu ni hapana! Huyo Kadinali alikuwa ni mhaya wa Bukoba na Huyu ni Mnyambo wa Karagwe. Ni majina tu kufananaAna Undugu na Kadinali Laurent Rugambwa? (1912-1997).
Jibu ni hapana! Huyo Kadinali alikuwa ni mhaya wa Bukoba na Huyu ni Mnyambo wa Karagwe. Ni majina tu kufanana
Hao ni watu tofauti! Mashemeji zangu WanyamboDuuh hivi Mnyambo na Muhaya ni kabila tofauti? Nilijua Mnyambo ni Muhaya.
usheikh hakuna kupeana.mpaka mbobez wa elimu ya dini kweli kweliHivi mashekh wenyewe huwa wanapatikanaje?na nani huwa anawateua?
Yule aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar Alhad Musa ana elimu gani ya dini?usheikh hakuna kupeana.mpaka mbobez wa elimu ya dini kweli kweli
π·ππ π π ππππ π πππ ππ’ππππππ πππ π π πππππππππ ππππππ π’π ππππ πHapana. Yule Rugambwa wa kwanza ni Mhaya wa wilaya ya Bukoba, huyu Rugambwa wa Pili ni Mnyambo wa wilaya ya Karagwe
kabla sijakujibu unajua uislam una elimu ngapi?Yule aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar Alhad Musa ana elimu gani ya dini?