Ahsante sana ndugu kwa ushauri wako, maana yule Doctor alimtisha kwa kumpima mkojo akamwambia figo inaanza kufail kwa kweli ilikuwa mtihaniHiyo inaitwa mild pre-eclampsia,protein +1 and edema,linatibika ila cha msingi apate dawa za presha kama methyl dopa na nefidepine na pia apunguze chumvi kwa chakula,asipofuata matibabu sahh inaprogress mpaka kwenye eclampsia hapo ni hatari zaidi uangalizi unahitajika
Protein ni kama early evidence of glumeruli damage,but its reversible and treatable condition,azingatie matibabu sahh ili isivuke kwenda kwenye severe pre-eclampsia au eclampsia enyewe,mama atajifungua salama bila shida mpeleke tyu hospital hyo hali ni ya kawaidaAhsante sana ndugu kwa ushauri wako, maana yule Doctor alimtisha kwa kumpima mkojo akamwambia figo inaanza kufail kwa kweli ilikuwa mtihani
Aende tyu clinic RCH hospital yeyote au dispensary atapewa matibabu sahh hlo tatz halihitaji specialistJe naweza kumpata wapi doctor wa masuala haya ya uzazi. Huyu mgonjwa yupo Zanzibar
Mpeleke haraka mkeo kwenye hospital ya uhakika,hiyo ni dalili au ndio kifafa cha mimba Kama umewahi sikia,mi nilikaribia kukosa mama na mtoto,mtoto nilikosa mama alinusurikaHabari wana JF, kama kichwa habari kisemavyo ningependa kijua kwa mwenye ufahamu juu ujauzito. Kuna mwanamke ana ujauzito wa week 20 lakin miguu yake inavimba alipoenda hospital akapimwa mkojo mkojo wake una protein plus one. Je hii husababishwa na nini? Je hali hii inatibika au ndo mpaka ajifubgue? Naomba kufahamishwa kwa mwenye uelewa katika hili.
mbona umejibu swali kienyeji sana,angalia reply ya daktari flani hapo juuu,the condition of having excess protein in urine we call it as protenuria and its a result of glomerulus problems in the kidney,medical treatments are suitable for that condition and for the case of foot&feet inflamations is what we call it as oedema,,,this conditions are related with abnormal blood pressure,,,the best way to be away from is to get medical treatment from any qualified hospital,,,,,,,am not a doctor that is why,,,,!!!,,,for more clarification refers to above replies.Mpeleke haraka mkeo kwenye hospital ya uhakika,hiyo ni dalili au ndio kifafa cha mimba Kama umewahi sikia,mi nilikaribia kukosa mama na mtoto,mtoto nilikosa mama alinusurika
Nilimpeleka hospital alipokuwa ana hidhulia klinik mke wangu,maana alikuwa anavimba miguu na sura akiwa na mimba ya miezi 7,Kama kawaida wakampim wakasema ana protein mwilini Kama hivyohivyo basi wakampa vi dawa dawa vyao,kumbe tatizo ndio linakua,wiki moja badae Hali ikawa mbaya zaid,nikamridisha tena maana ndio mimba ya Kwanza hata kinachoendelea sikijui kuhusu mimba,kwenda hospital wakasema Hali mbaya aende mwananyamala,mwananyamala akashinda siku moja ikashindikana akapelekwa ICU muhimbili kalazwa wiki 2 pale badae akafanyiwa operation mtoto pre mature,hakukaa Sana akafariki! So nakushauri nenda hospital kubwa haraka akafanyiwe vipimo vyote watajua jinsi ya kumsaidia
Ni dalili mbaya za matatzo ya Figo na sio kifafa cha mimbaa...!! Mpeleke hosptal mapema sana mkuu...mbona umejibu swali kienyeji sana,angalia reply ya daktari flani hapo juuu,the condition of having excess protein in urine we call it as protenuria and its a result of glomerulus problems in the kidney,medical treatments are suitable for that condition and for the case of foot&feet inflamations is what we call it as oedema,,,this conditions are related with abnormal blood pressure,,,the best way to be away from is to get medical treatment from any qualified hospital,,,,,,,am not a doctor that is why,,,,!!!,,,for more clarification refers to above replies.
Aisee we unaweza muua mgonjwa! All in all thanksMpeleke haraka mkeo kwenye hospital ya uhakika,hiyo ni dalili au ndio kifafa cha mimba Kama umewahi sikia,mi nilikaribia kukosa mama na mtoto,mtoto nilikosa mama alinusurika
Nilimpeleka hospital alipokuwa ana hidhulia klinik mke wangu,maana alikuwa anavimba miguu na sura akiwa na mimba ya miezi 7,Kama kawaida wakampim wakasema ana protein mwilini Kama hivyohivyo basi wakampa vi dawa dawa vyao,kumbe tatizo ndio linakua,wiki moja badae Hali ikawa mbaya zaid,nikamridisha tena maana ndio mimba ya Kwanza hata kinachoendelea sikijui kuhusu mimba,kwenda hospital wakasema Hali mbaya aende mwananyamala,mwananyamala akashinda siku moja ikashindikana akapelekwa ICU muhimbili kalazwa wiki 2 pale badae akafanyiwa operation mtoto pre mature,hakukaa Sana akafariki! So nakushauri nenda hospital kubwa haraka akafanyiwe vipimo vyote watajua jinsi ya kumsaidia
Ni dalili mbaya za matatzo ya Figo na sio kifafa cha mimbaa...!! Mpeleke hosptal mapema sana mkuu...
XawaThanks kaka kila kheri
Magonjwa ya moyo husababishwa na matatizo ya mishipa ya damu ay figo yenyewe,kutokana na figo kuwa muhimu kuchuja volume ya damu kuharibika kwake husababisha change in blood volume,hali hyo husababisha yafuatayoNi dalili mbaya za matatzo ya Figo na sio kifafa cha mimbaa...!! Mpeleke hosptal mapema sana mkuu...
KivipAisee we unaweza muua mgonjwa! All in all thanks