Wakulonga
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 762
- 771
Habari wana JF, kama kichwa habari kisemavyo ningependa kijua kwa mwenye ufahamu juu ujauzito. Kuna mwanamke ana ujauzito wa week 20 lakin miguu yake inavimba alipoenda hospital akapimwa mkojo mkojo wake una protein plus one. Je hii husababishwa na nini? Je hali hii inatibika au ndo mpaka ajifubgue? Naomba kufahamishwa kwa mwenye uelewa katika hili.