PROTIN KWENYE MKOJO

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
1,164
Reaction score
1,293
Habari wataalam.
Bibie ni mjamzito wa takribani wiki saba sasa. Alikua anajisikia homa na mafua.
Baada ya kufika kituo cha afya vipimo vimeonyesha hana tatizo lolote ila hiyo protini.
Naomba mawazo yenu namna ya ku handle hii issue.
Ni 30mg/dl.
Yuko sawa, hajavimba miguu yuko normal kabisa.
Karibuni
 
Madaktari wamesemaje au umepima uchochoroni
 
habari za mlandizi boss ??
 
Nilipima kwenye dispensary tu wakampa dawa za mafua na zingine kuwa atakua sawa. Najipanga nifike hosp kubwa ila hapa nilitamani kupata uzoefu pengine kuna mtu ilishamtokea
Madaktari wamesemaje au umepima uchochoroni
 
Hakikisha anahudhuria clinic mara kwa mara
Kuwepo kwa protein kwenye urine ni dalili za
Kuongezeka pressure (shinikizo la juu la damu) na badae kupata shida inayoitwa eclampsia (kifafa cha mimba). Endapo asipotambua mapema na kuizuia mapema piaa itamsaidiaa kupata mda wakutosha kukua mtoto na kutopata threatened abortion (mimba kutoka kabla ya wakati wake)
hakikisha mnakwenda kupima mara kwa mara hasa blood pressure ( shinikizo la damu)
 
Na High lymph? Inamaana gani
 
Na High lymph? Inamaana gani
High lymph inamaana mwili unapambana na maambukizi ya wadudu hivo basi unatengeneza seli hai za mwili zinazojulikana kama lymphocytes kwa wingi ambazo ni mojawapo ya seli nyeupe za damu zenye uwezo wakupambana na maambukizi ya bacteria na wadudu wengine wanaoshambulia mwiilii
 
HCT low
Gran% /gran # low
Ndio nini mkuu?
Nitashukuru ukinifumbua macho na hapa pia
 
Mkuu blood pressure zake zinasoma ngap
 
Sure? Kwann huja omba kujua HB kwanza? HTC inaweza kuwa low au high lakn isiwe jibu la Direct. Kwamba patient yuko Anemic
Htc low

Htc (haematrocrit) ni kiwango % cha seli nyekundu za damu
Kupungua kwake kunamaanisha upungufu wa damu (anaemia) na uwezo wa mwili kubeba oxygen
 
Lymphocytes... low = viral infection yaweza kuwa mafua au other viral infection. Kila parameters ina maana yake kwnye FBP ( full blood picture) mfano. Neutrophils = bakteria infection, Eosinophilis = parasites infection, monocytes = chronic infection
Basophils= allegic infection
Na High lymph? Inamaana gani
 
Mwambie ale matango tu hali ya figo zake itaimarika vizuri tu
 
Sure? Kwann huja omba kujua HB kwanza? HTC inaweza kuwa low au high lakn isiwe jibu la Direct. Kwamba patient yuko Anemic
Ni moja ya indicator so unaweza itumia kulingana na setting yako kuestimate uwepo wa upungufu wa damu
 
Sasa nini kifanyie mkuu
Htc low

Htc (haematrocrit) ni kiwango % cha seli nyekundu za damu
Kupungua kwake kunamaanisha upungufu wa damu (anaemia) na uwezo wa mwili kubeba oxygen
 
Htc low

Htc (haematrocrit) ni kiwango % cha seli nyekundu za damu
Kupungua kwake kunamaanisha upungufu wa damu (anaemia) na uwezo wa mwili kubeba oxygen
HCT low 36.6% nilisahau kukwambia
Lymph 48% High
Lymph# 2.0 × 10(juu ya 10 kuna 9)/L
 
Naomba kuuliza hiyo ni mimba ya ngapi kwa mke wako boss.
Mimba ya pili mkuu ya kwanza ilienda vyema kabisa hata hii yuko ok haonyeshi dalili yyte mbaya zaidi ya majuz kupima na kupata hiyo report
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…