theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Ni kiwango cha kawaida sana ukizingatia amebeba mimba mkuu. Cha msingi mwambie mama watoto anywe maji ya kutosha, matunda kwa wingi, na apate muda mwingi wa kutosha..Mimba ya pili mkuu ya kwanza ilienda vyema kabisa hata hii yuko ok haonyeshi dalili yyte mbaya zaidi ya majuz kupima na kupata hiyo report