Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Nimefuatilia matangazo kuhusu utaratibu wa kesho msibani, pia nimepitia ratiba. Naomba majuzi wa protocol watupe elimu, kwanini Mama Janeth ataondoka wa Kwanza uwanjani kwenda Makaburini nakumwacha Rais?
Tumezoea kumwona Rais akitangulia kuondoka maeneo mengi anayofika kikazi.
Tumezoea kumwona Rais akitangulia kuondoka maeneo mengi anayofika kikazi.