Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Nimefuatilia matangazo kuhusu utaratibu wa kesho msibani, pia nimepitia ratiba. Naomba majuzi wa protocol watupe elimu, kwanini Mama Janeth ataondoka wa Kwanza uwanjani kwenda Makaburini nakumwacha Rais? Tumezoea kumwona Rais akitangulia kuondoka maeneo mengi anayofika kikazi.
Mkuu mbona ratiba haisemi hivyoNimefuatilia matangazo kuhusu utaratibu wa kesho msibani, pia nimepitia ratiba. Naomba majuzi wa protocol watupe elimu, kwanini Mama Janeth ataondoka wa Kwanza uwanjani kwenda Makaburini nakumwacha Rais? Tumezoea kumwona Rais akitangulia kuondoka maeneo mengi anayofika kikazi.
Na iwe hivyoNadhani hapo ni protocol za Kanisa ndio zinafanya kazi kuwa mfiwa ndio atakuwa wa kwanza.
Mbona hilo sio eneo la kikazi🙄, mnakuza mambo tuTumezoea kumwona Rais akitangulia kuondoka maeneo mengi anayofika kikazi.
Kula msibani ni baraka sana..usikae uache kula msibani, mimi nakosa matukio yote lakini linapotokea swala la kula msibani naunga wakwanza
Hii hoja umeitoa usiku sana utadhani jambo la dharura? Mengine ambayo hayana madhara ni bora kuyaacha kama yalivyo kuliko kuchokonoa vitu ambavyo havileti tofauti vikifanywa hata kwa kinyume chake. Mwenye majonzi kuliko mwenzake kwa hao wawili uliotaja anajulikana ni Janeth maana kapoteza mtu wa pili toka kwake. Mwacheni apumzike kuliko kumshirikisha mambo yanayomwongezea machungu. Mbali na kwamba Kamati ya mazishi imefanya mambo mengi ya ovyo, lakini hujaona ikiweka ratiba ya Janeth kuongea msibani. Yeye ana uchungu wa kufiwa kuliko Samia.Nimefuatilia matangazo kuhusu utaratibu wa kesho msibani, pia nimepitia ratiba. Naomba majuzi wa protocol watupe elimu, kwanini Mama Janeth ataondoka wa Kwanza uwanjani kwenda Makaburini nakumwacha Rais? Tumezoea kumwona Rais akitangulia kuondoka maeneo mengi anayofika kikazi.
Umeiona wapi hiyo ratiba?Nimefuatilia matangazo kuhusu utaratibu wa kesho msibani, pia nimepitia ratiba. Naomba majuzi wa protocol watupe elimu, kwanini Mama Janeth ataondoka wa Kwanza uwanjani kwenda Makaburini nakumwacha Rais? Tumezoea kumwona Rais akitangulia kuondoka maeneo mengi anayofika kikazi.