Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Ualimu/kuajiriwa halmashauri.
Wazee wa tgs brother hapa usipokuwa mwizi, usipofikiria nje ya box, usipokuwa na determination kali nafasi ya kutoboa itakuwa ni ndogo, kwasababu maisha yatakuwa magumu mpaka utakapostaafu. Ukibadilika ukawq smart ukaongeza ujuzi wako unaweza kupunguza ukali kidogo wa maisha.
Fundi ujenzi.
90% ya mafundi wenyewe wanajenga nyumba za watu lakini wao hawana nyumba, kazi ngumu sana kutoka kwao ndio kula, akiumwa tu familia haipati pesa, lakini fundi akiwa makini akawa fundi mzuri, akatangaza kazi zake akachukua tenda basi ni rahisi sana kutajirika.
Uchimbaji wa madini.
Mzee wangu alienda na million 50 na theory kibao miaka imepita kidogo, zote zikapotea, asilimia 90% wanaoenda machimboni wanateketeza pesa, ni sawa na kubet tu, maana unasikia huyu amekula million , huyu laki 8, yule laki 5 lakini wewe bet unavyoweza hupati kitu.
Fundi pikipiki, mechanics, electronics.
Usipobadilisha hiyo niche kuwa biashara, mfano ukauza spare uku unatengeneza, ukabaki tu kuwa fundi basi mafanikio yako yapo mbali mno.
Kusoma degree ya psychology na bachelor of art in history
Hawa jamaa hawajawahi kuajiriwa tokea hizo course zianzishwe huko Tanzania.
NB. kila nilichokitaja hapo juu kuna fursa ya kutoka kimaisha kwa kuzingatia nidhamu, uvumilivu na uwezo wa kubadilika badilika kulingana na wakati.