Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Acha ku guess. Utumbo.
DREAM BIG,THINK BIG
 
Naona ugly clan mko up in arms
 
OMG thanks Smart911 sweetheart.. Wewe ndo unaning'arisha bila wewe am nothing.. .asante kwa kuona nakufaa mfalme wangu na kuzidi nipendezesha zaidi na zaidi...
Nakupenda Smart911 mume wangu!
Nashangaa kwanini kisulisuli kilipita hapo katikati hadi tukamiss haya maneno kwa muda usiojulikana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Videmu vya jf vinavyojua kuringa nyuma ya kibodi/simu vinajidai vikali kwakuwa vinatumia Id feki na picha zao hazionekani.



Naunga mkono hoja 100%
Still relevant to this day, wanajiona sana hawa ila wamechoka balaa🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…