Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Take the last two digits of the year in which you were born - now add
The age you will be this year,
The result will be 111 for every adult in the whole world. Is this true?
Take the last two digits of the year in which you were born - now add
The age you will be this year,
The result will be 111 for every adult in the whole world. Is this true?
not applicable to every one,
1980+31=111
Not true, try1931, 1979 and 1984 just a sample. You are wrong
Wewe ndo uko wrong! umeambiwa chukua tarakimu mbili tu za mwisho,
yaani 80 jumlisha na miaka yako 31, utapata jibu
Kaka usipende kukariri ovyo
nilisahau. nime'edit
Nyinyi ndo hamjamuelewa huyu jamaa, msipinge tu kama hamuelewi ulizeni...
kasema tarakimu mbili za mwisho za mwaka uliozaliwa (mfano kama ulizaliwa 1922)
chukua 22 kisha jumlisha na miaka uliyoanyo hivi sasa ambayo ni 89, utapata 111
that means u r not adultapana..uroooongoo mtupu so ur wrongtake 1982+28=?ist 111?
Yaani mkuu kuna watu wapo kwa ajili ya ku-oppose na kusaga thread za wenzao,kama imetulia ikubali tu kwani kuna ubaya gani!,bigup bundewe nimeipenda hiyo.Nyinyi ndo hamjamuelewa huyu jamaa, msipinge tu kama hamuelewi ulizeni...kasema tarakimu mbili za mwisho za mwaka uliozaliwa (mfano kama ulizaliwa 1922)chukua 22 kisha jumlisha na miaka uliyoanyo hivi sasa ambayo ni 89, utapata 111