Proved: Diamond Platnumz alipia Matangazo Youtube

Haya mawazo yenu huwa mnaandikia chooni au!???

Kwahiyo P square wana audio mbovu
 



Popote ulipo agiza fanta baridi sana nitakulipia
 
Kizuri chajiuza,
Kibaya chajitembeza
 
Kuna tofauti yoyote na hii? hello
 
Vijana wa kitanzania, jishughulisheni na maisha yenu jamani, mnajihusisha na Diamond anawasaidia nini maishani?
Hivi Sasa jukwaa la celebrities watu wa discuss nini zaidi ya mwenendo wa wasanii wao kimuziki?
Ni kweli vijana hawa wanaona kijana mwenzao anashuka kiwango na japo wao hawajamfikia lkn haiwanyimi kumshauri mwenzao. Na ukweli mleta mada kuleta mada fukirishi sana unless ni ubishi wetu wa kupinga Kila kitu hata kama ni constructive
 
Vijana wa kitanzania, jishughulisheni na maisha yenu jamani, mnajihusisha na Diamond anawasaidia nini maishani?
Hivi Sasa jukwaa la celebrities watu wa discuss nini zaidi ya mwenendo wa wasanii wao kimuziki?
Ni kweli vijana hawa wanaona kijana mwenzao anashuka kiwango na japo wao hawajamfikia lkn haiwanyimi kumshauri mwenzao. Na ukweli mleta mada kuleta mada fukirishi sana unless ni ubishi wetu wa kupinga Kila kitu hata kama ni constructive
 
Kwani sisi wote ni CHADEMA? Usitusemee mzee.
 
hahahha...sasa unashangaa nini sasa?? nenda kamwambie mange...hahahaha
Nafikiri umenielewa vibaya ndugu yangu; vile vile ninajuta kuwa sikukumbuka kuwa thread za namna hii huwa ni za timu. Maoni yangu yalikuwa ni hiyo observation kuwa ninaletewa video hiyo hata jambo ninalofanya halina uhusiano na muziki. Niliangalia video hiyo mara tatu, na vile vile niliangalia ya kiba mara tatu pia kwa vile zilikuwa zimeandikwa sana mtandaoni. Ukiangalia screenshots nilizoweka hapo, utagaundua kuwa mimi ninaangalia muziki wa aina mbalimbali sana, siko tied na timu yoyote; samahani sana kama post yangu hiyo imekuudhi!
 
Kwaio wewe hapo ndo unatabia za kizungu zungu?
 

Umeusahau na huu.

 
Kuna tafauti.
Nawaona Vodacom hapo na biashara ni kuuza miito ya simu...bila shaka ni audio.

Diamond anatafuta Views za YouTube .
Sijui kama umenielewa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na commercial Youtube ni jambo la maana, la kimaendeleo. Nadhani Diamond yupo step moja ahead ya wasanii wengi Tanzania.
Kufanya matangazo ni dalili ya ukubwa wa biashara. Fikiria, Intel wana commrcials nyingi tu, BP wana commercials, Walmart etc...
Kuutangazia wimbo Youtube ni jambo la maendeleo, siyo jambo la kulikebehi.
 
asikwambie mtu kitu babu, kuwa #2 trending week mbili mfululizo sasa kwa kuongozwa na muhasimu wako inauma sana aisee tena hadi views?
 
Tena unakuta ni vidume kabisa swali ambalo mimi huwa najiuliza hivi jamaa akifilisika watapata faida gani at least anavyofanikiwa analipa kodi na kaajiri watu pia hivyo kwa kiwango fulani anakuza uchumi

Sent from my Phillips Savy


Ndiyo maana rais mstaafu Mkapa anawatukana watu kama hawa kila kukicha.
 


Naomba uniambie hii mada iko constructive kivipi katika maisha yako? Wabongo jitambueni la sivyo rais mstaafu Mkapa atazidi kuwatukana kila akipata nafasi, shauri zenu.
 
Kuna kitu hujaelewa bado.
Hata wewe unaweza kulipia video yako YouTube.

Ukapata Views wakutosha.

Ukajidanganya kuwa watu wameipenda...kumbe umewanunua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati ukijaribu kumfatilia Diamond, yeye anaendelea kuingiza pesa.
Ads ni jambo la kawaida kwa kila kampuni kama inataka kufikia watu wengi, voda, tigo, pepsi wote hao wanatumia huo mtindo kufikia idadi kubwa ya watu na ndio maana wanaingiza mapato marefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…