Proved: Diamond Platnumz alipia Matangazo Youtube

Beyonce na Jay wanatangaza ngoma zao daily. wakikujibu njoo niulize nikujibu
 
yeye anataka mondi amuembe Mange ndo amtangaze, yeye hajui biashara matangazo, Mondi anawekeza pesa nyingi kwenye kujitangaza lakini mzee kiba anawekeza kwenye poyoyo, kiba anasubiri huruma za watu ndo aishi, kama mange asingemfanyia promo kiba wala asengekuwa na kitu kwenye hiyo seduce yake, na kama Mondi asinge kunya kabla kisha kiba akatoa wimbo wake wala asingepata huruma ya watu.
 
Kuna kitu hauelewi.
Matangazo anayofanya Diamond ni kununua views za YouTube.

Labda sio mtumiahi wa youtube.
Kama unatumia youtube huwa kuna matangazo yanajitokeza kabla ya kuangalia video unayotaka kuangalia.

Ambayo unaweza Ku skip baada ya sekunde tano.

Maana yake ni nini?
Maana mtu hata kama hauna nia ya kuangalia nyimbo ya Diamond..
Unalazimishwa kuangalia kwa sekunde tano

Na hapo ndipo Diamond anahesabu view.

Kama haujaelewa na hapa basi haupo sawa
 
We jamaa kweli huna unalojua hata kununua views youtube hujui maana yake ni nini.
Ebu rudi ukajielimishe maana ya kununua views youtube usiwe unaandika vitu usivyojua.
And by the way, hivyo ndivyo youtube inavyoweka matangazo ya kulipia na wala haihesabu kama video imeangaliwa unless huja skip baada ya hizo sekunde ila zikifika ukaskip haihesabiki kuwa uliangalia.
 
kweli kabisa, sipo sawa, OK je youtube wanaruhusu hilo? Unasema ananunua views je mimi ninaetokewa na hilo tangazo ninalipwaje lipwaje sasa? Hebu nijue hili faster nikadai malipo yangu kwa mondi. Tunaelimishana tu ili tujue, maana we kama wajua hili mimi najua jambo jingine, huwa hatufanani katika kujua mambo. Asante
 
Diamond ameshindikana.
Watu walishawahi kupiga kelele Kiba amezubaa kwa promo,leo mmesahau?Kiba anapendwa na wanaomchukia Diamond tu na ndio maana alipigia viti vitupu dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…