Proved: Kibu yupo majaribioni timu ya Kristiansund ya Norway

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Sakata la Kibu Dennis limeingia sura mpya baada ya kubainika kuwa yupo Nchini Norway kwa ajili ya majaribio baada ya kuitoroka Simba Sc kama ilivyoripitiwa awali.

Hii ni baada ya nyota huyo kupokea barua ya mwaliko kutoka klabu ya Kristiansund BK ya Nchini humo kwa ajili ya kufanyiwa majaribio ya Mwezi mmoja kuanzia tarehe 08 Julai 2024 mpaka 08 Agosti 2024.

Klabu hiyo ilianzishwa mwaka 2004 ikiwa ina miaka 20 tu na ina uwanja wake wenye uwezo wa kubeba watazamaji 4,444 walioketi na imepanda daraja msimu uliopita sasa inacheza ligi daraja la kwanza nchini humo.

#KitengeSports
1721881341858.jpg
 
#KitengeSportsView attachment 3051338
sawa tareh 8/8 anarudi kuwakanda uto nyuma mwiko
 
Nadhani Kibu anapewa attention kubwa kuliko uwezo wake kibu hana kiwango kilee ila ndo hivyo tumuombee na hapo ndipo viongoz walipo jichanganya kumtengenezea mindset hiyo kwanza hakustahili hata kuongezewa mkataba kwa kiwango chake na malengo ya simba tunayotaka
 
Back
Top Bottom