Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmeona mr kispika anasema watampa kibu .... sanctions heavyweight [emoji23]Kwani kuna mtu amemzuia, afuate taratibu tu Simba haina kawaida ya kuwabania wachezaji wanapopata timu za nje, huyo mwalimu wake ni kipofu na anampoteza njia.
Kibu ni jitu mkuuNadhani Kibu anapewa attention kubwa kuliko uwezo wake kibu hana kiwango kilee ila ndo hivyo tumuombee na hapo ndipo viongoz walipo jichanganya kumtengenezea mindset hiyo kwanza hakustahili hata kuongezewa mkataba kwa kiwango chake na malengo ya simba tunayotaka
Mlilazimishwa kama malipo ya kwenda Ikulu 😁 😁 😁Mbna sisi tulimuacha feitoto....for free
Kwanini iniume wakati Kila mtu ana maisha yakeIla roho inawauma sana[emoji23][emoji23]
Simba ulikuwepo na itaendelea kuwepo bila hao wachezaji.Sasa timu itakuaje
wazungu sio wajinga kiasi cha kumchukua mtu anayekimbiakimbia tu bila kucheza mpira. ila nampongeza kwa jitihada, though level anazojiweka hajafikia bado. ningekuwa mimi ni yeye ningetafuta tu mshahara mzuri kwenye timu hizihizi za bongo, au anapenda walau acheze ulaya na yeye?Sakata la Kibu Dennis limeingia sura mpya baada ya kubainika kuwa yupo Nchini Norway kwa ajili ya majaribio baada ya kuitoroka Simba Sc kama ilivyoripitiwa awali.
Hii ni baada ya nyota huyo kupokea barua ya mwaliko kutoka klabu ya Kristiansund BK ya Nchini humo kwa ajili ya kufanyiwa majaribio ya Mwezi mmoja kuanzia tarehe 08 Julai 2024 mpaka 08 Agosti 2024.
Klabu hiyo ilianzishwa mwaka 2004 ikiwa ina miaka 20 tu na ina uwanja wake wenye uwezo wa kubeba watazamaji 4,444 walioketi na imepanda daraja msimu uliopita sasa inacheza ligi daraja la kwanza nchini humo.
#KitengeSportsView attachment 3051338
Hakunaga mtu hapendi kwenda abroadwazungu sio wajinga kiasi cha kumchukua mtu anayekimbiakimbia tu bila kucheza mpira. ila nampongeza kwa jitihada, though level anazojiweka hajafikia bado. ningekuwa mimi ni yeye ningetafuta tu mshahara mzuri kwenye timu hizihizi za bongo, au anapenda walau acheze ulaya na yeye?
Kulingana na maelezo ya Wakala wake amesema zimekuwa zikiletwa offers Klabuni Simba kwa ajili ya kumtaka Kibu. Hata hivyo, Simba wamekuwa hawataki Kibu aondoke ndio maana ameamua kutumia njia hiyo ya sasa.Kwani kuna mtu amemzuia, afuate taratibu tu Simba haina kawaida ya kuwabania wachezaji wanapopata timu za nje, huyo mwalimu wake ni kipofu na anampoteza njia.
Simba iliwatoa Miquisone na Chama wakiwa kwenye ubora wao wa juu kabisa itakuwa huyo tutusa? Huyo wakala mwongo tu.Kulingana na maelezo ya Wakala wake amesema zimekuwa zikiletwa offers Klabuni Simba kwa ajili ya kumtaka Kibu. Hata hivyo, Simba wamekuwa hawataki Kibu aondoke ndio maana ameamua kutumia njia hiyo ya sasa.q