Kama mchezaji yupo ndani ya mkataba, barua inapelekwa kwa klabu au timu husika.
Simba wasipochukua hatua nitaamini huu ni mchezo wa viongozi.
Mlipokuwa mnashangilia yule mla ulojo mlijua hawezi kutokea kwenu?. Matahira fc a.k.a SANDA FCKama mchezaji yupo ndani ya mkataba, barua inapelekwa kwa klabu au timu husika.
Simba wasipochukua hatua nitaamini huu ni mchezo wa viongozi.
Simba haijawahi kumzuia mchezaji kwenda kucheza nje, Chama, Bwalya, Sackho, Inonga, Konde boy ni miongini mwa wachezaji walioruhusiwa kwenda nje.Muacheni tu mkuu
Simba haijawahi kumzuia mchezaji kwenda kucheza nje, Chama, Bwalya, Sackho, Inonga, Konde boy ni miongini mwa wachezaji walioruhusiwa kwenda nje.Muacheni tu mkuu
Biashara ndogo sana hiyo kwa Mo. Ila tu kama amepata timu afuate taratibu na siyo huu uhuni anaofanya. Kibu hana kitu kikuuubwa sana kiasi kwamba Simba watakataa kumuuza, njia aliyopita itampoteza.Mwamedi anataka kumuuza
Kwani kuna mtu amemzuia, afuate taratibu tu Simba haina kawaida ya kuwabania wachezaji wanapopata timu za nje, huyo mwalimu wake ni kipofu na anampoteza njia.Muacheni tu mkuu
Hao wengine pamoja na kuwashadadia hivyo hawana mwaliko wowote! Kibu ni level nyingine.Kama kibu ndo anawahangaisha hivi wengine je?
sawa tareh 8/8 anarudi kuwakanda uto nyuma mwikoSakata la Kibu Dennis limeingia sura mpya baada ya kubainika kuwa yupo Nchini Norway kwa ajili ya majaribio baada ya kuitoroka Simba Sc kama ilivyoripitiwa awali.
Hii ni baada ya nyota huyo kupokea barua ya mwaliko kutoka klabu ya Kristiansund BK ya Nchini humo kwa ajili ya kufanyiwa majaribio ya Mwezi mmoja kuanzia tarehe 08 Julai 2024 mpaka 08 Agosti 2024.
Klabu hiyo ilianzishwa mwaka 2004 ikiwa ina miaka 20 tu na ina uwanja wake wenye uwezo wa kubeba watazamaji 4,444 walioketi na imepanda daraja msimu uliopita sasa inacheza ligi daraja la kwanza nchini humo.
#KitengeSportsView attachment 3051338
Ni uoga wake tu kuwa huenda atazuiwa, lakini kwa asilimia kubwa naamini angeomba ruhusa hata siku isingeisha angeambiwa aendeMuacheni tu mkuu
Mzee Magoma umechafukwaaa.Mlipokuwa mnashangilia yule mla ulojo mlijua hawezi kutokea kwenu?. Matahira fc a.k.a SANDA FC