Proved: Kibu yupo majaribioni timu ya Kristiansund ya Norway

Kwani kuna mtu amemzuia, afuate taratibu tu Simba haina kawaida ya kuwabania wachezaji wanapopata timu za nje, huyo mwalimu wake ni kipofu na anampoteza njia.
Nmeona mr kispika anasema watampa kibu .... sanctions heavyweight [emoji23]
 
Kama anafata sheria na taratibu za FIFA hakuna tatizo, kama hafati taratibu ataishia majaribio tu.

Kila nikiitazama mifumo ya sheria na kanuni za soka naona kabisa ni "cartel" ya utumwa (modern day slavery).
[emoji23][emoji23]
 
Ni uoga wake tu kuwa huenda atazuiwa, lakini kwa asilimia kubwa naamini angeomba ruhusa hata siku isingeisha angeambiwa aende
Mbna sisi tulimuacha feitoto....for free
 
Kibu ni jitu mkuu
 
Mlilazimishwa kama malipo ya kwenda Ikulu [emoji16] [emoji16] [emoji16]
There is no free lunch [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Before that .... tulikuwa na mpango huo[emoji23][emoji23]
 
wazungu sio wajinga kiasi cha kumchukua mtu anayekimbiakimbia tu bila kucheza mpira. ila nampongeza kwa jitihada, though level anazojiweka hajafikia bado. ningekuwa mimi ni yeye ningetafuta tu mshahara mzuri kwenye timu hizihizi za bongo, au anapenda walau acheze ulaya na yeye?
 
Hakunaga mtu hapendi kwenda abroad
 
Kwani kuna mtu amemzuia, afuate taratibu tu Simba haina kawaida ya kuwabania wachezaji wanapopata timu za nje, huyo mwalimu wake ni kipofu na anampoteza njia.
Kulingana na maelezo ya Wakala wake amesema zimekuwa zikiletwa offers Klabuni Simba kwa ajili ya kumtaka Kibu. Hata hivyo, Simba wamekuwa hawataki Kibu aondoke ndio maana ameamua kutumia njia hiyo ya sasa.
 
Kulingana na maelezo ya Wakala wake amesema zimekuwa zikiletwa offers Klabuni Simba kwa ajili ya kumtaka Kibu. Hata hivyo, Simba wamekuwa hawataki Kibu aondoke ndio maana ameamua kutumia njia hiyo ya sasa.q
Simba iliwatoa Miquisone na Chama wakiwa kwenye ubora wao wa juu kabisa itakuwa huyo tutusa? Huyo wakala mwongo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…